RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.

Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe

View attachment 1050521

Sent using Jamii Forums mobile app[/
MM kwa kocha na wachezaji tulionao nina mashaka na ushindi. Ikiwezekana kama waganga wa jadi wanasaidia tuwatumie pia. Pia tumtumie yule mganga wa yanga na hata yule wa mbao fc
 
mtajiuliza maswali sana ila he owns the city ni ukweli usiopingika ana influence , akitoka raisi yuko powerfull sana nguvu nyingi imetumika kumwangusha ila woii hata hajatingishwa kucha ....sema sijui pesa anatolea wapi maana ukionganisha maneno yake duuuu utadhani mo *2

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kampeni au tamko hata moja alilotamka likatekelezeka! Hakuna alichokisimamia kikafanyika na kufanikiwa..

He is a lunatic
 
Back
Top Bottom