Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Kwa ushahidi wa kauli ya kusadikika ya DAB. Keshasema kuna watu wananunua majeneza na kuchimba kaburi feki ili kuleta taharuki. Kama tulivyoamini papai lina CORONA tunapaswa kuamini na hili maana wenye nchi washaongea.Kwa ushahidi upi wa kuthibitisha coronavirus imepungua Dar?
Kwa ushahidi wa kauli ya kusadikika ya DAB. Keshasema kuna watu wananunua majeneza na kuchimba kaburi feki ili kuleta taharuki. Kama tulivyoamini papai lina CORONA tunapaswa kuamini na hili maana wenye nchi washaongea.
kama yamepungua amwambie baba yeke arudi dar, zee lioga sijapata kuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajiaminisha uongo wake kuwa fact. Husikii anavyojinasibu 'mkoa wangu'. Inamaanisha na nchi pia ya kwake. Nadhani kwa vile wanajiita ni chaguo la mungu (sio Mungu) basi itakuwa ni mungu wao ndio amewapa hati miliki.Tangu lini Bashite amekuwa mwenye Nchi? Hiyo hati miliki alikabidhiwa lini na wapi?
Kwa ushahidi upi wa kuthibitisha coronavirus imepungua Dar?
Tumia akili basi mara moja moja😣😣😣!Kwan mnashindwa?