el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe unavyogongwa siyo...Unagongwa wewe!!
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Paul Makonda amenena yake kuhusu hali ya Corona mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari amesema hali sasa inaelekea kuwa shwari, idadi ya wagonjwa inazidi kupungua na kuwatoa hofu wakazi wa mkoa huo.
Vile vile amesema alifanya uchunguzi na kugundua watu wenye nia ovu mtandaoni walinunua majeneza na kwenda kwenye maeneo ya makaburini na kuchimba chimba na kujifanya wanazika ili kuleta taharuki.
1)Unapewa habari moja usiyoweza kuithibitisha, inabidi uikubali kwa kuipa benefit of the doubt.
2) unaongezewa habari ya pili ambayo una nafasi kubwa ya kuithibitisha, Na unahisi kwa asilimia kubwa ni uongo.
Inakubudi uamini kuwa zote mbili ni za kutiliwa shaka
Rais hahitaji kura ya mtu yeye atatangazwa tu
Tulia mbona alinunua kuigiza kuizika CHADEMA!Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
upo sahihu mkuu, ila upande wa pili je hzo taarifa kua wagonjwa waliopimwa positive wameongezeka je imapatikanaje!? ujue hvi vitu haviitaji hasira na inaonekana kua kuna wazushi upande mmoja au pande zote!!. mitandao inadai vifo vinaongezeka ila tulioko mitaan dar hatusikii vifo, au wanakufa watu wa masaki?Mmesema wenyewe na Dunia imewasikia kuwa vitendea kazi mlivyonavyo kwa kuweza kuwapima watu kama wana corona havina ubora; sasa hizo data kuwa idadi ya wagonjwa inazidi kupungua inapatikanaje? Acheni kuwafanya watanganyika kuwa mazuzu!!! Kaeni na ukola menu wa kuwaua wananchi wasio na hatia!!
upo sahihi mkuu!. ila pia hali sio shwari kwa takwimu ipi pia!? nauliza tu kuondoa ujinga nna imani utanijibu kwa weledi bila hisia.Hali ni shwari kwa takwimu zipi?zilizotangazwa lini? awadanganye mazezeta wenzake huko
Sent using Jamii Forums mobile app
huenda ananufaika na hizo taharuki hahaaaTena usawa huu ulivyo mgumu pesa hakuna mtu akanunue majeneza na kulipa watu wa kichimba makaburi kadhaa ili kuleta taharuki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
swali la msingi hili, nakazia.Hali inakuwa shwari bila ya kuwepo upimaji kwa wiki mbili sasa?
Tangu lini yeye amekuwa msemaji wa Wizara ya Afya!?
[emoji15][emoji15][emoji15]
kwan ww unataka kuamini!?Anayetaka tusiamini taarifa za kwenye mitandao kisa mtoa taarifa kaficha jina. Sijui nae anaitwa nani?
Swali zuri sn mkuu. Unajua tatizo hawa viongozi wetu kwenye akili zao wanajua wanaongoza watu wajinga ndiyo maana wanatunga upumbavu kama huu. Jambo rahisi tu wakamate wanunua majeneza ya yangefunguliwa watu waone hayana miili ndani. Hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yaoMwenye macho haambiwi tazama, je aliwachukulia hatua gani baada ya kugundua hilo?