Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuna watanzania wataamini huo ujinga? Baada ya kuwajua akawachukulia hatua gani?
Unagongwa wewe!!Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Kauli kama hii niliisikia kutoka kule BrazilHii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Tutasikia mengi sana raiya navilie tulivyo kilajambo hewala baba basi kila mmoja anaibuka na lakeHata mimi nimeshangaa sana, wachimbe makaburi, wanunue majeneza, wanunue PPE, wakodi na Ambulance kwa ajili ya kwenda kufanya "shooting", Duu!
Unajuwa kama huu ugojwa auja kupata au kupata moja ya ndugu zako wa karibu unachukulia kama mzaha hivi Au unaona kuwa haukuhusu hivi kwaiyo tunaweza kuongea vyovyo inavyo jisikiaHuku Gwajima, kule Bashite. Watu wanapukutika bado anaaminisha wat kuna ununuzi wa majeneza
Nni tusi kubwa kwa maelfu ya wafiwa! wanaomboleza, misiba kila kona bado kuna dhihaka kama hii....
Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Mpumbavu kuliko huyo bashite wako! Yaani anataka kumdanganya Nani ilihali wanakozika kule kondo Kuna watu walioshuhudia maziko ya usiku Hadi waziri mkuu alithibitisha na kupiga marufuku!Vijana waache kuzusha habari mbaya za uongo
Mabeberu hawatawasaidia
Daah,jamaa umenikumbusha katibu wangu,hivi Dr. Bashiru yuko wapi nimem miss sana katibu, jamaani.Huku Gwajima, kule Bashite. Watu wanapukutika bado anaaminisha wat kuna ununuzi wa majeneza
Nni tusi kubwa kwa maelfu ya wafiwa! wanaomboleza, misiba kila kona bado kuna dhihaka kama hii
Kwamba, kuna watu wananunua majeneza kueneza uvumi. Tanzania tumefikaje hapa?
Kila siku kuna kitu cha kushangaza dunia, siku hizi ukisoma Media za duniani ni mabaya ya Tanzania
Inafika mahali tunaona aibu hata kujiita Watanzania...