RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

Mambo mengine bora RC Makonda angekaa kimya tu maana ni kama kujitoa ufahamu, haingii akilini watu wanunue majeneza then waigize kama wanazika hakuna fedha za mchezo kwa hali ya watu ilivyo kiuchumi ununue jeneza pasina sababu.
 
Tangu lini Bashite amekuwa mwenye Nchi? Hiyo hati miliki alikabidhiwa lini na wapi?

Kwa ushahidi wa kauli ya kusadikika ya DAB. Keshasema kuna watu wananunua majeneza na kuchimba kaburi feki ili kuleta taharuki. Kama tulivyoamini papai lina CORONA tunapaswa kuamini na hili maana wenye nchi washaongea.
 
Amesema maambukizi yamepungua!!! Hivi yamepungua kutoka idadi ya wangapi hadi wa ngapi kwa siku. Au ameamua tu bwana mkubwa kuwa kuanzia sasa yamepungua?
 
Kwa ushahidi upi wa kuthibitisha coronavirus imepungua Dar?

Jana tu wale walinzi wa roho za watanzania wamesema kuna hatari kubwa dar wakatoa alert kwa RAIA wao kujihadhari japo nao hawakutoa data, leo bwashee anaetuhumiwa kuiba uhai wa watu na walinzi wa uhai duniani nae anakuja na yake lakini wote hakuna alietoa takwimu wala kithibitisho tangible.....

Tutafika tu japo tutakuwa tumechoka sana.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ila huyu jamaa anaona mbali aisee. Ameshaona enzi za ufalme zinakaribia ukingoni nasikia kaanza ujasiliamali taratiibu. Nasikia kafungua kanisa lake. Daaah jamaa anazijua fursa
 
Epidemiologist wamesema ivyo au ndo tunataka kutupa jiwe gizan tuone nani atapiga kelele.
Watu tunatafuta hela kumbe kuna bunch of people wananunua majeneza😁😁,,,,,,,,,,ila hii nchi waisraeli wenyew wakija watasalimu amri.


Too much sense will not kill me.
 
Bashite ni punguuu
Kuna Dr.namfanyia kazi zake za fundi nyumbani kwake, yy yuko muhimbili juzi karudi kazini anamwambia mkewe hakikisha mafundi wanamaliza kazi haraka kwani hali ni mbaya wagonjwa wa corona wameongezeka na maambukizi yako juu.
Sasa bashite anatuletea kekundu na kurudi ili tuchague wenyewe kazi kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom