RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

Mungu wa Kipindi cha Kina Abraham, Adama na kina Mose angeendelea kuonyesha makali yake mpaka sasa hivi watu wengi wangekufa.

Huyu Paulo alikuwa anahubiri juzi jumapili kashika Bible.
Leo anaongea uongo wazi wazi wa Majeneza.. hapa DSM nani anaweza kupata ambulance au gari la mazishi.

Yani huyu Paulo angepigwa pigo moja angekufa kwa kumkebehi Mungu.

Bora aamue kuwa mwanasiasa aache kutumia mgongo wa Biblia ili aonekane kuwa ni mcha Mungu.
 

Aliposema mwenyewe Dar watu walikuwa wanapukutika bila shaka walipona wote na kupukutika kimaisha mara moja baada tu ya ile hotuba ya Chatto:



Makonda: Dar hali si shwari, watu wanapukutika. Walio nje ya mkoa huu bakini huko! - JamiiForums

Itakuwa ni majibu chanya ya nyungu na ile mitishamba.

Hawa wanaopatikana huko mipakani ni wale wa mwisho mwisho kabisa tunapokwenda kumaliza kabisa huu ugonjwa.

Tusiwe na wasiwasi tuchape kazi, tuko vizuri!
 
upo sahihu mkuu, ila upande wa pili je hzo taarifa kua wagonjwa waliopimwa positive wameongezeka je imapatikanaje!? ujue hvi vitu haviitaji hasira na inaonekana kua kuna wazushi upande mmoja au pande zote!!. mitandao inadai vifo vinaongezeka ila tulioko mitaan dar hatusikii vifo, au wanakufa watu wa masaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye macho haambiwi tazama, je aliwachukulia hatua gani baada ya kugundua hilo?
Swali zuri sn mkuu. Unajua tatizo hawa viongozi wetu kwenye akili zao wanajua wanaongoza watu wajinga ndiyo maana wanatunga upumbavu kama huu. Jambo rahisi tu wakamate wanunua majeneza ya yangefunguliwa watu waone hayana miili ndani. Hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…