Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Hivi wanawaonaje wananchi.
Hivi aone watu makaburini asiwakamate...kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Best nilikumiss, mambo.Tangu lini Bashite amekuwa mwenye Nchi? Hiyo hati miliki alikabidhiwa lini na wapi?
uwezo wake wa kufikiri uliishia hapo, akadhani anaweza kuleta hadithi za kitoto/kijinga zikakubalika kwenye jamiiDa hivi hawa viongozi wanakwama wapi kutoa kauli kama izi why yatupwe dar na so mikoa mingine? Basi nafikili ulinzi dar sio imara kama mikoani kama ni kweli.
Maana kama watu wana nia ovu ya kuizalilisha serikali wanaweza fanya popote mikoani na kama ndo ivyo niwapongeze kamati za ulinzi zote kutoka mikoani maana hatujasikia ili huko tumelisikia huku jiji la kandoro
Epidemiologist wamesema ivyo au ndo tunataka kutupa jiwe gizan tuone nani atapiga kelele.
Watu tunatafuta hela kumbe kuna bunch of people wananunua majeneza😁😁,,,,,,,,,,ila hii nchi waisraeli wenyew wakija watasalimu amri.
Too much sense will not kill me.
Best nilikumiss, mambo.
Kutoka idadi ya majeneza aliyoyaona yakifukiwa makaburini.Yamepungua kutoka watu wangapi?
Wamejuaje yamepungua?
Yan jamaa, kweli nimeamin ukiwa na upeo mkubwa wa kufikiria ndo unapata matatizo mengi sana......... yan this is rubbish, Uharo kabsa cr mzima kusemaHii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Usikatae😒😒Tumia akili basi mara moja moja😣😣😣!
Mtu mzima ukiambiwa jambo la kipuuzi nawe ukaliamini basi una tatizo mahali!Usikatae😒😒
Kisa halijakufurahisha ndo linakuwa la kipuuzi...Nawe una tatizo vile vileMtu mzima ukiambiwa jambo la kipuuzi nawe ukaliamini basi una tatizo mahali!
Uko nje ya key kabisaa!Mwendelezo ule ule wa siasa za majitaka kwenye mambo serious!Jiulize maswali mepesi kabla hujakurupuka kujibu!Kisa halijakufurahisha ndo linakuwa la kipuuzi...Nawe una tatizo vile vile