RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

Uko nje ya key kabisaa!Mwendelezo ule ule wa siasa za majitaka kwenye mambo serious!Jiulize maswali mepesi kabla hujakurupuka kujibu!...
1. Atawajuaje wakati wanapostiwa na yule domo asiyejulikana.
2. Hampost mavideo ya kutisha sahivi...yawezekana akawa sahihi.
 
1.Atawajuaje wakati wanapostiwa na yule domo asiyejulikana.
2.Hampost mavideo ya kutisha sahivi...yawezekana akawa sahihi.
Majibu mepese kwa maswali magumu ndio hivi!Nadhani napoteza tu muda wangu,siku njema!
 
Hamna kitu hapo,

- Imepungua kutoka ngapi na kufikia ngapi?
- hivi mtu hana hata pesa ya kununua mkate, anawazaje kwenda kununua jeneza la maigizo? Kwenye makaburi kuna walinzi, awataje hao waliofika huko makaburini kwa lengo la kuzua taharuki.

Alifanya uchunguzi makaburi gani? Kwenye picha nyingi zilionekana gar za serikali, je dereva wa magari hayo nae alikuwa na nia ovi ya kuzua tahatuki?

Wadanganyeni wadanganyika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu hapo,
-Imepungua kutoka ngapi na kufikia ngapi?
-hivi mtu hana hata pesa ya kununua mkate, anawazaje kwenda kununua jeneza la maigizo? Kwenye makaburi kuna walinzi, awataje hao waliofika huko makaburini kwa lengo la kuzua taharuki...
Mtu makini atajiuliza maswali kama hayo,ila yale marobot, wao ni pambio tu!
 
Vile vile amesema alifanya uchunguzi na kugundua watu wenye nia ovu mtandaoni walinunua majeneza na kwenda kwenye maeneo ya makaburini na kuchimba chimba na kujifanya wanazika ili kuleta taharuki.
Basi watu wa mitandaoni wana hela sana hadi wakanunua na gari wakaandika Municipal Burial services!!
 
Majeneza hayatoshi yaongezwe kabla hali haijawa mbaya zaidi Sasa ni kufukia tu mwendo wa usiku
 
Iweje sasa Makonda atupe ripoti ya Korona? Anahusikaje?
Mbona tuliambiwa kuwa wenye mamlaka ni waziri wa afya na wakuu wa taifa tu?
Hata hivyo, kwanini basi asitupatie tarakimu za mwisho badala ya kusema mambo shwari?

Halafu hao wajanja walioigiza mazishi kwanini asiwachukulie hatua za kisheria? Kitendawili
 
Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Sio kununua majeneza tu, hadi kukodi magari (ambulance) ya serikali yenye namba stl na dfp na kuyatumia kwenye shughuli hizo za mazishi, huku serikali ikikaa kimya.
 
Jamani kama takwimu hazitolewi sasa hicho kiwango cha maambukizi kupungua amekitoa wapi. Mh ni vyema ukaweka na data
 
Back
Top Bottom