Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,921
- 4,683
Eti hawa ndio viongozi. Ndio maana nchi majirani zetu hawaachi kutushangaa kila kukicha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Atawajuaje wakati wanapostiwa na yule domo asiyejulikana.Uko nje ya key kabisaa!Mwendelezo ule ule wa siasa za majitaka kwenye mambo serious!Jiulize maswali mepesi kabla hujakurupuka kujibu!...
Majibu mepese kwa maswali magumu ndio hivi!Nadhani napoteza tu muda wangu,siku njema!1.Atawajuaje wakati wanapostiwa na yule domo asiyejulikana.
2.Hampost mavideo ya kutisha sahivi...yawezekana akawa sahihi.
Hadi mtihani una short answers quiz zenye maksi nyingi...Siku njema kwako pia.Majibu mepese kwa maswali magumu ndio hivi!Nadhani napoteza tu muda wangu,siku njema!
Imeshaisha hiyo!Hadi mtihani una short answers quiz zenye maksi nyingi...Siku njema kwako pia.
Mtu makini atajiuliza maswali kama hayo,ila yale marobot, wao ni pambio tu!Hamna kitu hapo,
-Imepungua kutoka ngapi na kufikia ngapi?
-hivi mtu hana hata pesa ya kununua mkate, anawazaje kwenda kununua jeneza la maigizo? Kwenye makaburi kuna walinzi, awataje hao waliofika huko makaburini kwa lengo la kuzua taharuki...
Basi watu wa mitandaoni wana hela sana hadi wakanunua na gari wakaandika Municipal Burial services!!Vile vile amesema alifanya uchunguzi na kugundua watu wenye nia ovu mtandaoni walinunua majeneza na kwenda kwenye maeneo ya makaburini na kuchimba chimba na kujifanya wanazika ili kuleta taharuki.
Pia kutoamini ni ujinga.Na kuna watanzania wataamini huo ujinga? Baada ya kuwajua akawachukulia hatua gani?
Je unaamini hiyo taarifa, na kwa nini unaamini?Kama anajua kizungu akayafute ile habari ya aljezira aone ilala manicipal vifo vilikuwa zaudi ya 250 vya covid alafu anasema nini
Mabeberu kwenye korona wanaingia Vipi wao wenyeew kwao wanataftana,,,,Vijana waache kuzusha habari mbaya za uongo
Mabeberu hawatawasaidia
Sio kununua majeneza tu, hadi kukodi magari (ambulance) ya serikali yenye namba stl na dfp na kuyatumia kwenye shughuli hizo za mazishi, huku serikali ikikaa kimya.Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Mabeberu kwenye korona wanaingia Vipi wao wenyeew kwao wanataftana,,,,
Mabeberu ni kina nani?Mabeberu ni watu wabaya sana usiwaamini