Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Yafukuliwe tuyaone, na waliofanya hivo wachukuliwe hatua. 🙌🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu unajiuliza, idadi ya wagonjwa wanajua kweli hata waseme maambukizi yamepungua. Wehu wa kutisha huu. Duuh hatari.Huyu kiongozi ni "ZERO ZERO ZERO KICHWANI" kabisaaa. Yani kichwa chake kimejaa "MATOPE". Akili zake hua anakua amezikalia. Yani ni punguwani kabisa hili jamaa.
Haya maradhi sio yakufanyia mzaha, ni hatari sana, yapaswa tuyachukulie "SERIOUS" sanaa.
Imefikia hatua nchi zote za jirani zinatuona kama mkaa wa moto. Tanzania tumekua kama vile "WAZALISHAJI/BREEDERS/INCUBATOR" ya COVID-19.
Dhambi dhidi ya TALMajeneza yananunuliwa mtandaoni? Yale Yale ya Yule baba yake kuwa amefanya utafiti kakuta mapapai yana corona, hivi hawa watu shule walienda kweli?
Au kuna dhambi wamefanya inawatafuna? Maaana ujue mtu alietenda dhambi kubwa unamkuta anajiongelesha vitu vya kitoto kabisa na yeye anajisikia raha kuona yuko sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni wabinafsi sana, ukiwa na kitu ulipo huwezi jali wenzako wanaohangaika kutafuta hicho kitu.Point of correction;Mimi si mtu wa serikalini...,Simfuatilii hata huyo Kigogo....Huku nilipo hakuna shida ya sukari;ni 2,800/= per kg.
Hapana kiongozi... Nipo Mwanza ila kuna ninaowahudumia wapo Dar es salaam.Sisi ni wabinafsi sana, ukiwa na kitu ulipo huwezi jali wenzako wanaohangaika kutafuta hicho kitu.
cheap Propaganda Mkuu,,kwa hiyo CORONA IPO TARGETED Tanzania pekee yake?,,,hao mabeberu ndo wanaongoza kwa kufa ,,au pia utuambie kuwa wanaofanya maiguzoMabeberu ni watu wabaya sana usiwaamini
Sawa mkuu, nilitoa tu statement ya ujumla kuwa ni asili ya binadamu wengi kuwa hivyoHapana kiongozi... Nipo Mwanza ila kuna ninaowahudumia wapo Dar es salaam.
👊👊👊Sawa mkuu, nilitoa tu statement ya ujumla kuwa ni asili ya binadamu wengi kuwa hivyo
MMH na wewe nawe ukaamini ujinga huo bila ya kuhoji wala kujihoji? Nadhani wewe ni ndio mwenye TATIZO zaidi kuliko hata alokwambia.Mkuu Mabeberu sio watu wazuri, Rais wa Madagascar aliambiwa atapewa doller miloon 20 ili aweke sumu kwenye dawa waliogundua ili iue waafrica
upo sahihi mkuu!. ila pia hali sio shwari kwa takwimu ipi pia!? nauliza tu kuondoa ujinga nna imani utanijibu kwa weledi bila hisia