says who?Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa ukiona anazuia kitu ujue anataarfa
Kamwambie aache bange, na wewe pia acha bange na kuropoka ropoka kila wakati. Itafikia mahali hata kama uko na point watu watakupuuza. Take my adviceMkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa ukiona anazuia kitu ujue anataarfa
Ndiyo Mnataka kuzunguka nayeNdio tumechoka siasa za uwongo na uchonganishi
wasafi ni wanafikiEti mtu huyu ndiye hua anaalikwa pale wasafi kwny kipindi cha dini J2 kuja kuhubiri kuhusiana na amani na upendo huku yule lil mwasha akijisemesha ooh my God,ooh haleluya,Ooh Jesus
Unafiki bana.
Mkuu huu ni ujinga ulio kupitiliza wa kuunga mkono kila kisemachwa, mda mwingine fikiria kwa akiri zakoMkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa ukiona anazuia kitu ujue anataarfa
Hahaaaa sasa hapa amekutishia nn?Ndio umetumwa na Mbowe kuja kunitishia maisha?
Atafikiriaje wakati hana akili? Huyo ana akili kiduuuuchu za kuvukia barabara tuMkuu huu ni ujinga ulio kupitiliza wa kuunga mkono kila kisemachwa, mda mwingine fikiria kwa akiri zako
Anafaa ubunge viti maalumu we need people like ...Kumbe ,
Umesahau Mwenyekiti aliwatangazia kuwa Wawe na shukrani, akataja mfano wa Ludovick Mwananzila
Mdomo wa bashite unashida gani?
Tatizo liko kwa watu wa ujiji kuchagua mtu Zitto kabwe mkazi wa masaki dar es salaam kuwa mbunge wao!!! Hajielewi kuwa anatakiwa ziara na kuongelea aongelee ya jimbo Lake la kigoma faeces's salaam Tuna wabunge wetu na viongozi WA serikali wetu hatuhitaji msaada wake makonda na wabunge wa far es salaam WA CCM na upinzani wanatoshsa kutuwakilisha na kutusemea hatuhitaji msaada wa mbunge kutoka mwandiga kigoma mshamba atusemee
Ndio umetumwa na Mbowe kuja kunitishia maisha?
Akili za viongozi wetu zinatakiwa kupimwaMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
Enhee Zitto nae amelipokea je hilo?Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam