RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

Kwani bwana huyo ni mchungaji?
Inawezekana mkuu kuna siku nilimuona polepole kwny kipindi hicho hicho hapo wasafi akihubiri na bible yake mkoninu huku wale wanafiki pale pembeni wanaitikia tu ooooh shindwaaa oooh shindwaa.
 
Huu ndio ulevi wa madaraka uliopindukia. nafikiri na naamini siku zote kuwa huyu bwana hajui mipaka ya kazi zake. ubabe anaotumia ipo siku atajikuta peke yake katikati ya washtaki wake na hatakuwa na 'watetezi wake wa sasa'.
 
Mhe. Makonda. Vipi, mbona abiria wa Daladala hawavai barakoa siku hizi? Agizo lako umalifuta? Au Zitto anasumbua?
 
hii nchi ina wangese ngese wengi sana..,imefika stage tunapangiana cha kusema ipo siku tutatozana gharama ya kuvuta oxygen ya ccm
 
Ukitaka kujuwa uwezo wa mtu na kiwango chake cha elimu usikimbilie vyeti.
Tazama matendo yake anpo pewa dhamana na kauli zake zinavyopingana na shria na kanuni za nchi.
Maamuzi na maneno ya kufyatua hufanana sana na aina ya vyeti ulivyo navyo sandukuni.
 
CCM wanakazi bado ya kugroom watu wao, kama kasema haya ni aibu kwetu sote wote maana viongozi ni reflection ya jamii.
 
Makonda saa nyingine ana akili za ki Gwajima Gwajima, na anatabia kama malaya aliyekosa bei.
 
Nafikiri nafasi za ukuu wa mikoa/ Wilaya zingekuwa zinateuliwa kwa kuangalia sehem unakotoka ndipo unakuwa mkuu wa mkoa husika. mfano Bashite alitakiwa kuwa mkuu wa wilaya ya Misungwi huko Mwanza, Hizi kelele au tambo zisingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…