Huyu mtt wa baba ana shida up stairs. Boss haja ona tuu??Matokeo ya kukubali kuongozwa na akili ndogo ndio hayo
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".

Dr Mwele Malecela aliposema kuna uwezekano wa zika kuwepo nchini aliadhibiwa ila huyu "mke wa mtu" atachekewa tuNi hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Tatizo ni 'self image'Huyu mtt wa baba ana shida up stairs. Boss haja ona tuu??
Sent using Jamii Forums mobile app