RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

sikupata bahati ya kufuatilia, hivi alikuwa anaongea kizungu au lugha ya taifa?
In God we Trust
 
Mnatoa kauli kama hii ili watu wajijadhari vipi ? Weapon kama hizo zinaweza kuwepo na mtu wa kawaida ni vigumu kufanya lolote..., wenyewe kama nchi wenye intelijensia ndio wanaweza kujua threat ipo wapi na wapi pa kuizima kuliko kuanza kuleta panic kwa watu.., isije ikawa ya Sadam Hussien na Weapons of Mass Destruction
 
Huyo kijana anatakiwa awe anashauriwa nn cha kuongea, hayo mambo ya biological weapons ni ya watu wa TISS na JWTZ, na ndo maana hata viongozi wakubwa wa nchi huwa wako kimya kwani huitaji kuyafukua au kuongelea sana utawaamsha maadui wakushughulikie
 
Bilogical Weapon ndio iliyomuua "MASOGANGE". ana Experience na hayo mambo.
 
Ogopa sana albadiri
In God we Trust
 
Huyu Kilaza jamani. Eti Biological weapons. Anajua hata maana yake ?Au ndo kina lemutuz wanamdanganya ?Tanzania ikipigwa biological weapon wote tutaisha.
Ha ha ha ha....
 
Ujinga haujilikani mpaka mtu apewe nafasi ya kunena au kutenda.
 
Mpeni mic aendelee bhana hahahahahah
wageni wakija ikijuwa watoto wanafukuzwa sasa mnamwingiza huyo si ataropoka yasiyotamkwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…