RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Sasa mkuu tununue hiki chako tuache kile cha mzee Mengi?

Sent from my iPhone 6s using Tapatalk
 
Kilaza kuzindua kitabu cha kilaza mwenzie...waalikwa vilaza pia...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] fact

Sent using Jamii Forums mobile app

- Mkuu kwa kupigana mweneywe na maisha nipo mbali sana infact hata watoto wa viongozi wengi wanani admire sana na hata wazazi wao, nimeshauza nusu ya vitabu nilivyochapisha na sio siri vitaisha vyote, wewe endelea na ujinga wako sisi tunapiga pesa

le Mutuz Superbrand[/QUOTE]Babu lini utakua?
Ushavuka hatua zote za binadam kuanzia kuzaliwa, utoto, ujana, uzee.

Wewe nakuona upo utotoni bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

- Sitaki kuamini kwamba hayo ni majengo yako huko uliko USA, kwa hizi picha tu nimekudharau kwamba ni fala nitapoteza mdua wangu kusoma post yako yote, ila by the way nilipokuwa huko USA nilikua ninaishi ninavyota
ka na hata huku bongo pia maisha ni yale yale, ila ninawacheka watoto wa viongozi wengi wanaohangaika hapa mjini ni huzuni, ninamshukuru sana Mungu kwamba sikupitia maisha ya Power maana na mimi ningekuwa kama hawa ninaowaona kila siku wanasota hapa mjini, pole sana hapa umepiga mwamba!

le Mutuz Superbrand[/QUOTE]

kwamba ni fala nitapoteza mdua wangu kusoma post yako yote

wewe huna akili na watu wengi huko tz wana tambua hilo, to cut the crap wewe ni ZERO brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…