retweeted
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,339
- 919
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nawe wote hawana akili sasa akialika mtu mwenye akili si itakuwa matatizo kabisa so wache akili ndogo zote ziendelee kuzindua akili ndogoEti superbrand..hii title kapewa na nani??
Mtu anayejielewa hawezi kuacha kusoma nondo za kina R.kayosaki,asome hiki cha huyu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaona yule ni mkuu wa mkoa den ni best friend akimpa shavu so mbayaMtu asiye kuwa na elimu kuzindua kitambu kilichoandikwa na mwenye elimu. Only, in Tanzania...
Kwa nini usitafute wasomi tu hapa nchini people like Mfuruki, Mengi, et all
Uvae Suti siku hiyo sio hayo manguo yako hilo ni tukio "Spesho".
kweli kabisa ili kosa nimeliona mapema nikajisemea LeMbululaz kawaje tena na kiswaingiSpeeking about title..hicho kitabu kingetakiwa kiitwe MY EXPRIENCE IN AMERICA na Sio My American Exprience
Sent using Xiom X
Afu le mutuz anaweza kuteuliwa any time[emoji16] hawajui tuKila mtu apambane na hali yake mnavyomponda huyu baba wa watu hamjui Mungu amemuandikia njia gani ya maisha hata kama hutaki kitabu chake si ukae kimyaa!!ya nini kumpondaa!waja mkoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku anatudiss kutumia majina fake
- Mzee Mengi hawezi kuwa hajitambui, anayejitambua hatumii majina ya bandia hahahahahaha jipime tena mkuu kama kweli unajitambua hahahahahha
le Mutuz Superbrand
Teh teh teh [emoji23] ila huyu mzee anazingua sana ujueIle habari ya child support umeiweka? Mpuuzi kweli wewe unashabikia akina makonda au kwa umri wako unawazaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpinzani??? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kilaza kuzindua kitabu cha kilaza mwenzie...waalikwa vilaza pia...![]()
- Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda. Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku. Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.
- Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.
le Mutuz Superbrand
Tegemea kupondwa na kupongezwa, na sio kimoja wapo,Kila mtu apambane na hali yake mnavyomponda huyu baba wa watu hamjui Mungu amemuandikia njia gani ya maisha hata kama hutaki kitabu chake si ukae kimyaa!!ya nini kumpondaa!waja mkoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandika tu huwezi,,We nawe wote hawana akili sasa akialika mtu mwenye akili si itakuwa matatizo kabisa so wache akili ndogo zote ziendelee kuzindua akili ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ningeweza kununua ila kwakuwa bado nipo huku Grand Rapid-Michagani Tabu lako halina maana kwangu. Experience yako USA haimaanishi wote tunapitia.Tatizo haukuwa na Akili toka mwanzo. Baba yako ka waziri mkuu unge kuwa mbalisana sasa hivi. Uenda ungekuwa hataraisi wetu but bichwa tikiti maji
View attachment 846031
View attachment 846031