Ukisoma comment za huu uzi utagundua 96% ya Watanzania ni wachawi...
Wewe ni miongoni mwa wabebez wake??? amehusisha kitabu chake na maisha yake ya ndoa.Ila ukweli ni kwamba amekimbia amerika kwa hofu na kushindwa kwa majukumu ya wana na mke .Find the copy of that taka taka uone
Teh teh we jamaa umenivunja mbavu aisee
MWENYE CV AU ACADEMIC CREDENTIALS ZA THE KI-BA-100 AWEKE HAPA KWANZA KABLA YA KUOMBA KUJUA MAUDHUI YA HIKI KITABU
- hahahahahha hapana kaka ni njaaa maana inaua hata baunsa!
le Mutuz Superbrand
nikimkuta mtu anasoma kitabu cha le mutuz ofisini namzaba makofi na kukichana hicho kitabu siwezi kuwa na work mate dumb ofisini afu nimwangalie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
umeandika vizuri kwa kuwa hata debe tupu huwa lina kutu!Not talking about his title.
But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.
Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau
Umeshachapisha vitabu vingapi? Ambapo tayari ushauza nusu yake.- So far nimeshauza nusu ya vitabu vilivyochapishwa, so huenda utakufwa kabisa hahahahaha
le Mutuz Superbrand
narudia tena nikimkuta mtu anakesha eti anasoma upumbavu alioandika le mutuz ntamfanyia surgery ya kichwa niko radhi kupewa kesi ya Assault na kufungwa kuliko kuruhusu mtu asome upunguani alioandika Kubwa jinga lemutuz- So far nimeshauza nusu ya vitabu vilivyochapishwa, so huenda utakufwa kabisa hahahahaha
le Mutuz Superbrand
Jf liyojaa wajuzi kibao. Sijawahi kuona member aliyesoma na le mutuz au kuuona ujan wa lemutzMWENYE CV AU ACADEMIC CREDENTIALS ZA THE KI-BA-100 AWEKE HAPA KWANZA KABLA YA KUOMBA KUJUA MAUDHUI YA HIKI KITABU
Makonda atajaza wahindi watanunuaKisipo uzika tambua kabisa tatizo ni gundu unalotegemea kulikalisha high table.
Kuna wachawi zaidi yenu LumumbaZz..Ukisoma comment za huu uzi utagundua 96% ya Watanzania ni wachawi...
Tatizo liko kwenye priorities mama! Huwezi kusoma kila kitabu kilichaandikwa hapa duniani ila inabidi muda mchache ulio nao usome vile vya maana! Ukiamua kuokoteza na kusoma kila kitu utajikuta umepoteza muda wako.Not talking about his title.
But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.
Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau
Mange na le mutuz kuna kitu
Umegonga penyewe. Jamaa anajaza uongo kwenye kitabu na anajivika wasifu wa uongoTatizo la kitabu ambacho kinaelezea kinachoitwa "true story", sio kweli kwamba ni true story, bali kuna vitu vingi vibaya alivyofanya mwenye kitabu havielezwi, kuonyesha kwamba yeye ndo chanzo cha tatizo, yote ni katika kutimiza story.
Vinginevyo, kama kwenye hiyo story kuna mwanamke aliachwa mfano, basi kuwe na stori ya kweli kutoka huyo mwanamke nae aelezee, mfano unaweza kuta jamaa alisalitiwa sababu ya kibamia au kukoroma usiku kwa mfano, unadhani hiyo story utaiona kwenye icho kitabu?