RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Wewe ni miongoni mwa wabebez wake??? amehusisha kitabu chake na maisha yake ya ndoa.Ila ukweli ni kwamba amekimbia amerika kwa hofu na kushindwa kwa majukumu ya wana na mke .Find the copy of that taka taka uone

- Sio muhimu kujibu but nitakuelimisha kidogo, kila chenye mwanzo hakikosi mwisho, nilienda USA nikaamua kurudi nilikotoka Bongo, kelele za mlango ni kawaida. Walisema sitaweza bongo walipoona ninapaweza wakasema nimekimbia hahahahahhaa na bado! mtasema mengi sana!

le Mutuz Superbrand
 
MWENYE CV AU ACADEMIC CREDENTIALS ZA THE KI-BA-100 AWEKE HAPA KWANZA KABLA YA KUOMBA KUJUA MAUDHUI YA HIKI KITABU

- Watoto wa kiume humu wanalilia sana kibamia ina maana humu tumebeba wanaume wa jinsia wengi sana maana mtoto wa kiume kililia kibamia sio kawaida hahahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
Not talking about his title.

But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.

Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau
umeandika vizuri kwa kuwa hata debe tupu huwa lina kutu!
 
- So far nimeshauza nusu ya vitabu vilivyochapishwa, so huenda utakufwa kabisa hahahahaha

le Mutuz Superbrand
narudia tena nikimkuta mtu anakesha eti anasoma upumbavu alioandika le mutuz ntamfanyia surgery ya kichwa niko radhi kupewa kesi ya Assault na kufungwa kuliko kuruhusu mtu asome upunguani alioandika Kubwa jinga lemutuz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not talking about his title.

But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.

Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau
Tatizo liko kwenye priorities mama! Huwezi kusoma kila kitabu kilichaandikwa hapa duniani ila inabidi muda mchache ulio nao usome vile vya maana! Ukiamua kuokoteza na kusoma kila kitu utajikuta umepoteza muda wako.
 
Tatizo la kitabu ambacho kinaelezea kinachoitwa "true story", sio kweli kwamba ni true story, bali kuna vitu vingi vibaya alivyofanya mwenye kitabu havielezwi, kuonyesha kwamba yeye ndo chanzo cha tatizo, yote ni katika kutimiza story.

Vinginevyo, kama kwenye hiyo story kuna mwanamke aliachwa mfano, basi kuwe na stori ya kweli kutoka huyo mwanamke nae aelezee, mfano unaweza kuta jamaa alisalitiwa sababu ya kibamia au kukoroma usiku kwa mfano, unadhani hiyo story utaiona kwenye icho kitabu?
Umegonga penyewe. Jamaa anajaza uongo kwenye kitabu na anajivika wasifu wa uongo
 
Back
Top Bottom