RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Umeshachapisha vitabu vingapi? Ambapo tayari ushauza nusu yake.

Kwenye 4, nusu yake ni 2. Isije ikawa hivyo
Lazima atauza nakala za kutosha tu, watanzia wanaosoma magazeti ya udaku na story za shigongo ni wengi kuliko hao wasomi. Akiuze bei ndogo tu
 
Tutajifunza nini kwake?
Sijawahi ona walio andika kitabu kwa kufeli maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata aliyefeli maisha Bado kuna cha kujifunzs toka kwake. Na akiki weka kwenye maandish ni Bora zaidi kwani ni njia nzur ya kuwafunza watu kwa upana zaidi.

Hivi unadhan mtu aliyefeli maisha akaandika sabb zake za kufeli maisha sawa na waliofaulu maisha wanavyo Fanya unadhan wasingekuwa wanatufunza?
 
Mi nilishasoma bure Insta upuuzi wako, hiyo buku 15 si bora ninunue nyama ya IDD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia hapo uliposema kimeshakuwa Habari ya Mjini, Nikajisemea, HATA KAMA NINGEKUWA NA MPANGO, NISINGETHUBUTU Maana I can see Yatakayokuwepo humo ni magunzi matupu [emoji706][emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I say siku hiyo nitakuja Ku grab my copy ..najua kitakuwa na totoz nyingi pia siku hiyo ..am humbled u know
 
Wewe ni miongoni mwa wabebez wake??? amehusisha kitabu chake na maisha yake ya ndoa.Ila ukweli ni kwamba amekimbia amerika kwa hofu na kushindwa kwa majukumu ya wana na mke .Find the copy of that taka taka uone
Mkewe mtarajiwa.
Karibu kwenye ndoa yetu kiongizi
 
Kumbe bado watanzania wengi huko ni vichwa maandazi, ndo mana Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu. Mtu anaponda kitabu hata cover huenda hajaliona hahaha. Hongera Bonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Super brand le mutuz, Tunausubiri huo uzinduzi kwa Hamu kubwa
 
Kuzinduliwa na dab [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…