RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Tunakisubiri kwa hamu
Le mutuz ameleta mapinduzi makubwa katika kucheza na mitandao,kutafuta udhamini na kujenga brand
Siku hizi kila msanii bongo utamsikia brand yangu nyoko nyoko mazafantaz
Kama wewe umeanza kusikia neno brand kutoka Kwa huyo kubwa jinga pole yako na wewe utakuwa zero brain
 
Kama wewe umeanza kusikia neno brand kutoka Kwa huyo kubwa jinga pole yako na wewe utakuwa zero brain
hujanielewa,naongelea wasanii ndio wameanza kusikia kwake,mie nipo kwenye tasnia ya masoko muda mrefu sana
 
Reactions: Pep
Hawa waandaaji nahisi harufu ya kulazimishwa kudhamini na mzinduaji kama walivyolazimishwa tv za keko na vibanda vya maticha kwa sababu ya kiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuma kadi yangu le mbebez nakuja kuwakilisha jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh JF kiboko jamani nimesoma comments nimecheka kifala yaani,kitabu ni 15K tu na unapata burudani ya Ngwasuma lakini watu bado wamekomaa [emoji23][emoji23] unaweza kukuta wanao mfurumusha uku kwa comment kali ndio wanaompa moyo kule IG.
 
Yy anaongelea uzoefu wake wa kuish marekani. Na wala hajizungumzii yy maisha yake halisi.

Ama mm ndio sijamuelewa?
Daah! Ulipomtaja Prof Ishumi na falsafa mwili ukasisimka! He is good this field. Akina Sambo na marehemu Mbeo walikuwa wanagusagusa tu somo la falsafa kwa mbali. By the way tulikuwa darasa moja enzi hizo? Just asking.
 
Exactly..Mtu mafanikio hana..unaandika historia yako ili iweje sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
unatakiwa ujiulize mafanikio ni nn. kingine una hakika gani km ana mafanikio tuache wivu na Roho za kwa nn tutashindwa kufika km taifa japo nina tofauti na jamaa kisiasa ila kwa ili nampa ongera sio jambo dogo kuandika kitabu kuwapa Elimu watu wengine...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

- Nina a choice ya kukusikiliza wewe unayetumia majina ya bandia na Mzee Mengi Mwenyekiti wa IPP aliyefurahishwa na kitabu mpaka kuamua kuja siku hiyo na kuomba kuongea, hahahahahaha eti ungekua wewe ungechagua kumsikiliza nani hapa? hahahahahahahahah

le Mutuz Superbrand
 
Kama wewe umeanza kusikia neno brand kutoka Kwa huyo kubwa jinga pole yako na wewe utakuwa zero brain

- Hii event inadhaminiwa na wadhamini karibu 20, tena big brands labda nikuulize umewahi kudhaminiwa na wadhamini wangapi kwenye brand yako?

le Mutuz Superbrand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…