Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club

Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club

Naanza kufikiri kuwa wengi humu wameanza kumfahamu Wakazi baada ya album yake ya kisimani, hawajui kuwa Wakazi amefanya mengi na ana achievements nyingi kuliko rappers wengi tu tz

Sent using Jamii Forums mobile app
True mkuu,wengi sana wamemjua juzi juzi na upuuzi wa jf siku hizi,kna wengne watamponda huku hawamjui kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona eeh! Yaani kaimba yeye lakini naogopa mimi...
Hip hop artist ni ma' conscious sana unaona Wakazi alivyomchana Makonda.. Halafu wanakuambia Toka kanda maalumu Tarime mapanga nje nje.
 
Hawajui hao.

Huyo alikua meneja wa Lady Jay Dee.

Akizinguliwa anaweza kurudi zake Ulaya.
Kwanini asirudi kuliko kudai mwaliko maalum?
 
Narudi kusema, kuitwa wasanii pale ni mpango wa mla rambi rambi kuvuta hela kijanja na alivuta na pia kama mtakuwa mlimsikiliza RC mtasikia kuwa ameandaa trip ya kutembelea SGR na wasanii na kichoma nyama kwenye treni...kuna fungu kutoka kwa ofisi ya mkuu wa mkoa labda kama atatoa mfukoni kwake

 
Mwanaume inabidi uwe namna hiyo.


Siyo kudalalia madem town
 
True mkuu,wengi sana wamemjua juzi juzi na upuuzi wa jf siku hizi,kna wengne watamponda huku hawamjui kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wengi humu sio wafuatiliaji wa hizi harakati, wanadhani ili msanii awe mkali ni lazima awe anatoa hit songs pasipo kukumbuka hit song huletwa na mambo mengi na mengine ni nje ya Sanaa yenyewe ya muziki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana point huyo...hao wasanii huwaga wanashinda instagram muda wote sasa ukiwaandikia barua wataipata vipi iwapo wanashinda insta?

Bashite kwa hilo yupo sawa
 
Vyote viwili vina kazi moja.... KUSAFISHA.... kimbembe kinakuja.... Kusafisha nini? Kati ya hivi viwili kimoja kina heshima zaidi kuliko kingine
Kati ya hivi viwili kimoja hutunzwa kwa uangalifu na kurembwa sana kabla ya matumizi, lakini yote hayo hukoma mara baada ya kutumika.....
Toilet paper ama karatasi ya chooni ina kazi ya kusafisha zakari mara baada ya mtu kumaliza kujisaidia kubwa.... Baada ya hapo hutupwa chooni tena hushikwa kwa kinyaa kikubwa... Siipendi sana njia hii ya mzungu ya kujiswafi kwakuwa haitakatishi kwa asilimia mia moja
Dodoki lisilotunzwa kivile kama karatasi ya chooni, lina kazi ya heshima zaidi... Kazi ya kusafisha mwili, tena kwa maji na sabuni... Dodoki kamwe huwezi kulipitisha kwenye zakari... Ni dhihaka kubwa....!!! Dodoki haliogopi maji kama karatasi ya chooni.... Ukitaka kuiweza karatasi ya chooni itie kwenye maji... Inakuwa mdebwedo.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msanii WAKAZI kamfundisha bwana yule Mr misifa namna ya kutenda kazi zake... Si yeye tu bali pia kamfundisha kazi mzee wa misiba.... Wakazi amefanya kitu kikichowashinda wengi, hasa wasanii... Kuongea ukweli na kwa uwazi... Si nyuma ya keyboard la hasha.... Hakuogopa na amepingana na kitendo cha wasanii kuitwa kupitia mtandao....
Huu ni utaratibu... Hata mpenzi huwezi kumuita hivyo utampigia walau simu... Wasanii wachovu wa mwili, akili na uchumi hawakuwa na muda wa kutafakari hili... Walienda.... Maskini ya Mungu wakitegemea chochote cha kuwasogeza siku.....
Wakazi amehoji kwa uwazi.... Aliyewaita kawaita kama nani? Kwanini asiwaite kupitia vyama vyao? Viongozi wao? Ama la kwanini basi asingetumia walau barua za mialiko?
Mzee wa misiba kwa upuuzi na upumbavu ule ule kamkasirikia Wakazi na kumuita dodoki.... Lakini kajisahau kuwa yeye ni karatasi ya chooni (sorry karatasi ya kuchambia) my apology.... Kwamba ikishatumika inatupwa kule tena ndani ya choo... Haitakiwi kuonekana tena hadharani....
Mwitikio wa wito wa mwaliko umeonekana... Watu hawana mvuto tena.. Wakazi kaongea... Amesikika.... Ni ushindi kwa dodoki... Tena ushindi mnono... Kamwe dodoki haliwezi kuwa toilet paper

Alamsiki....!!!!!!

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom