RC Makonda na Viongozi wa Dini Kwenye Matembezi ya Amani Arusha

IMEANDIKWA!
👇👇
Mathayo 6:5-8
5 Tena msalipo, msiwe kama wanafiki; kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao.

6 Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.

7 Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.

8 Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba.

وَاسْتَعِينُوا بِالصَّبْرِ وَالصَّلَاةِ ۚ
وَإِنَّهَا لَكَبِيرَةٌ إِلَّا عَلَى الْخَاشِعِينَ

[ AL - BAQARA - 45 ]
Na tafuteni msaada kwa kusubiri na kwa kusali; na kwa hakika jambo hilo ni gumu isipokuwa kwa wanyenyekevu,
 
Sina uhakika kama una ushahidi wa hayo maovu unayo yaongelea hapa,

Ila kitendo cha kusema Anajuta ni dalili ya mtu kutambua makosa yake na kua mwema,mtu muovu hua hajuti bali huendeleza uovu wake.
Ila wewe ndiyo una ushahidi! Ushauri wangu kwako acha kudhulumu haki za kuishi za wenzako na kudhulumu mali zao,
Asikuongopee mtu, mtu muovu anaishi na majuto hadi siku ya kufa kwake na ataondoka nayo na hawezi kuacha ukatili wake licha ya kwamba ana majuto moyoni mwake kwa sababu huyo tayari anakuwa ni mtumwa na mfuasi mtiifu wa shetani.
 

Masahihisho kwenye Andiko, Tanzania haijawahi kutawaliwa na wakoloni hivyo Tanzania haikupata uhuru Toka Kwa wakoloni.
Nchi iliyopata uhuru ni Tanganyika .
Leo tunakumbukizi ya uhuru wa Tanganyika Toka Kwa waingereza.
 
Jifunze kusoma na kuelewa kwanza kabla hujaamua kujibu jambo lolote lile,

Ni wapi mimi nimesema nina ushahidi? nimemdhulumu nani? nimemdhulumu nini?

Kumbe nilikua najadili na katoto ka elfu mbili.
 
Jifunze kusoma na kuelewa kwanza kabla hujaamua kujibu jambo lolote lile,

Ni wapi mimi nimesema nina ushahidi? nimemdhulumu nani? nimemdhulumu nini?

Kumbe nilikua najadili na katoto ka elfu mbili.
Wewe ni yule unayejifanya kumtetea,acha kutubabaisha hapa.
Huwezi kunifikia hata kidogo usijidanganye.
 
Tunaishi kiroho kwelikweli wabongo, ndio maana wasabato masalia walitaka kwenda kueneza injili kwa mataifa sugu yasiyoamini na yasiyo ya kiroho wakasahau dini hizo zilitokea hukohuko 😀 😀 😀 😀

Maisha yetu ni kuwaza miujiza tu, na zisipokuwepo hizi dini maana ya maisha inapotea kabisa, maana tunaishi ili tufe tukaishi tena mbinguni na firdaus 😀😀😀😀

Na wapigaji wote wanacheza na beat hiyohiyo yani kama huyu mwanasanaa wa chuga
 
Wafanyakazi ofisi zote za umma Arusha wamelazimishwa waende. Lazima wangejaa tu maana kila mtu anaogopa kibarua chake.
Wafanyakazi wapo wangapi?Wacha visingizio vya kibwege.Umati uliojitokeza asilimia ndogo sana ni wafanyakazi wa umma na hakuna aliyelazimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…