RC Makonda na Viongozi wa Dini Kwenye Matembezi ya Amani Arusha

RC Makonda na Viongozi wa Dini Kwenye Matembezi ya Amani Arusha

Mwambie Makonda aendelee kufanya usanii huku akipiga fedha kama hana akili nzuri kwa sababu maombo yake kwa ''mungu'' yatasaidia nchi. Kweli waafrika bado tuko kwenye level ya manyani. Huyu huyu muovu na shetani Makonda anafanya maombi ya kuiombea nchi?
Yesu alikuja kwa waovu sio wasafi
 
Moja ya sanaa kubwa sana kupata kutokea duniani ni sanaa ya kupiga ramli chonganishi. Enzi za utawala wa Nicholas Tsra II Russian, alitokea mganga mmoja ambaye familia yake ilimuamini sana, aliitwa Gregor Rasputin.

Ina aminika hata baadhi ya maamuzi yake mabaya, yaliyosababisha kushindwa vitani na kupelekea Bolshevik kuitwaa nchi ya Russia na baadae kuuwa na familia nzima, yalisababishwa na huyo mpiga ramli.

Kuna nyakati unasikiasikia hadithi ila huwezi kuamini. Kinachokuamisha ni statement kama hizi ambazo kwanza ni vague, maana hazina uthibitisho na pili pengine zinafanyiwa kazi kisirisiri.

Ninawasihi watanzania wenzangu, tuzidi kuombeana na kuliombea Taifa. Hizi ramli chonganishi zinaweza kutuletea shida kama anayeambiwa akiamua kuzifanyia kazi. 😂 😂 😂 😂 😂

Tusiingie kwenye mtego wa Gregor Rasputin na Mfalme Nicholas Tsra II


 
I don't like the guy, but can't deny that he's dangerously anointed. As a politician you need extra juice to pull off audacious stunts Bashite usually pulls off.​
He has that charisma yeah, a populist so to say despite him being such a goon and a narcissist.
 
Wachungaji na mashke wamebeba makondoo Yao wakaenda nayo, watumishi wa Uma nao wamelimwa barua lazima waende
Kheri kondoo wa wachungaji kuliko nyumbu wa Gaidi Mbowe na mwehu Lissu
 
Arusha cha moto wanakiona. Hawa wazee wanapelekwa mputa mputa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom