RC Makonda na Viongozi wa Dini Kwenye Matembezi ya Amani Arusha

BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.

IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA NA SOMALIA KIUCHUMI.

MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Sahivi ni ushirikina na ufisadi tupu
 
Wewe ni yule unayejifanya kumtetea,acha kutubabaisha hapa.
Huwezi kunifikia hata kidogo usijidanganye.
Kuwababaisha wewe na nani? mbona unajumuisha na wengine sasa? jiongelee wewe kama wewe,

Upeo wako wa uelewa ni mdogo sana,grow up young Boy.
 
Wewe una uelewa gani zaidi ya kujigeuza mtwana kwa huyo bwana'ako ,usinipotezee muda choko mkubwa.
 
Back
Top Bottom