The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wewe mjane usiniletee mimi hasira zako za kufiwa na mumeo,umeshindwa hoja umekimbilia matusi,Wewe una uelewa gani zaidi ya kujigeuza mtwana kwa huyo bwana'ako ,usinipotezee muda choko mkubwa.
Yesu alikuja kwa waovu sio wasafiMwambie Makonda aendelee kufanya usanii huku akipiga fedha kama hana akili nzuri kwa sababu maombo yake kwa ''mungu'' yatasaidia nchi. Kweli waafrika bado tuko kwenye level ya manyani. Huyu huyu muovu na shetani Makonda anafanya maombi ya kuiombea nchi?
Waovu waliojirudi. Huwezi kuwa ni kiongozi wa waovu na kila siku unaongoza maovu halafu useme Yesu alikuja kwa ajili yako.Yesu alikuja kwa waovu sio wasafi
He has that charisma yeah, a populist so to say despite him being such a goon and a narcissist.I don't like the guy, but can't deny that he's dangerously anointed. As a politician you need extra juice to pull off audacious stunts Bashite usually pulls off.
Kheri kondoo wa wachungaji kuliko nyumbu wa Gaidi Mbowe na mwehu LissuWachungaji na mashke wamebeba makondoo Yao wakaenda nayo, watumishi wa Uma nao wamelimwa barua lazima waende
Mbona uchaguzi haukuwa wa amani?Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha, wananchi wamejitokeza kwa wingi.
View attachment 3172868
Soma, Pia: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Disemba jijini Arusha hata wakisema ni uchawi poa tu