RC Makonda: Ofisi iliyochanga pesa kwa niaba ya Taifa Stars na kuzitumia izilete mara moja.

Hii ni vita ya haki ya mzaliwa wa Kwanza kati ya mwenye vyeti feki na ya mchunga ng'ombe wa kanda ya kati anayeona suluhu la matatizo ni kupiga wenzake fimbo za mgongoni hadi wazimie.
Sky Eclat andaa mkate wa dengu adui mwombee njaaa
 

Attachments

  • VID-20190703-WA0001.mp4
    505.8 KB
Mimi naamini tangu dunia iumbwe hajawahi kutokea mkuu wa mkoa kama huyu. - 0
 
Ofisi gani hiyo ..Waitaje?

Ova
 
Ndungai apeleke pesa haraka sana kwa Bos wake, la sivyo atamsemea tena kwa mfalume.
Hii ni sababu ya madai ya Ndungai kuhusu kukumbushia ile ahadi ya milioni kumi ambayo Naibu Rais aliwaahidi wachezaji kama wataweza kushiriki mashindano ya Afcon.
Hivyo wote wanapaswa kutimiza ahadi zao.
 
Hii itakuwa labda ofisi ya bunge nini?
Kwa kuwa ndio walioenda kwa wingi.
Ingelikuwa vema ofisi zote zilizochanga kwa Taifa stars zikaorodheshwa.
 
Utawala Wa Sheria
Busara, Hekima Vitumike
 
Ipo siku ataamrisha mzee Magu akome mara moja kuzurura huko Chattle na Airbus. Kijana anazidi kurefusha mabawa tu kila iitwapo leo.
 
Wabunge hao.
Walimwaga mboga jamaa kamwaga ugali. Hivi Mwakyembe yuko wapi?


Makonda itabidi tu awe waziri kwa sababu hakuna namna.

Mwakyembe ameshajichokea zake
 
Hiyo timu angekuwepo CANAVARO kingeshanuka
 
Hiyo ofisi ni ile inaongozwa na mheshimiwa DHAIFU SANA??
 
Hii battle ilikuwa ina HOME na AWAY! Sasa IPO HOME... DAB kama kawa... We muekee MIC mbele... Hana break huyu! Ndugu alimgusa aliposema MJENGONI kuna MTU aliahidi 10m kwa kila mchezaji na hajatoa! Patamu hapa! Tule popcorn!
Hii ni vita ya haki ya mzaliwa wa Kwanza kati ya mwenye vyeti feki na ya mchunga ng'ombe wa kanda ya kati anayeona suluhu la matatizo ni kupiga wenzake fimbo za mgongoni hadi wazimie.
Sky Eclat andaa mkate wa dengu adui mwombee njaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…