LGE2024 RC Makonda: Piga kura ondoka katafute pesa, kulinda waachie mawakala

LGE2024 RC Makonda: Piga kura ondoka katafute pesa, kulinda waachie mawakala

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao.

"Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda katafute pesa"

 
Wakuu,



Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda katafute pesa
 
Huyu mitako nae ushaambiwa kesho siyo siku ya kazi. Wakatafute wapi hizo pesa walizoshindwa kuzitafuta mwaka mzima?
Mbona jumapili huwa hawaendi??
Siyo siku ya kazi kwe walio ajiriwa kwenye organizations huko, sisi bodaboda tunaendelea na kazi
 
Ambao wanamahitaji ya kazi watapiga kura na wataenda kazini ambao hawana watapiga kura na watalinda hatuwezi kuwa na mfanano wote ??
 
Wakuu,

View attachment 3162043

Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda katafute pesa
na atakae kaidi na kuleta kimbelembele kuzengea zengea na sharubu zake kwenye kituo cha kupigia kura, akamatwe aswekwe ndrani hadi pale matokeo yatakapotangazwa 🐒
 
Kwenye masuala ya uchaguzi kamwe usiamini maccm,yamejaa utapeli
 
Back
Top Bottom