Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Siyo siku ya kazi kwe walio ajiriwa kwenye organizations huko, sisi bodaboda tunaendelea na kaziHuyu mitako nae ushaambiwa kesho siyo siku ya kazi. Wakatafute wapi hizo pesa walizoshindwa kuzitafuta mwaka mzima?
Mbona jumapili huwa hawaendi??
na atakae kaidi na kuleta kimbelembele kuzengea zengea na sharubu zake kwenye kituo cha kupigia kura, akamatwe aswekwe ndrani hadi pale matokeo yatakapotangazwa 🐒Wakuu,
View attachment 3162043
Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda katafute pesa
Kuna nini mpaka iwe siku ya Mapumziko ?Kesho si siku ya mapumziko?