GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
HUYO YUPO JUU SANA MNAHANGAIKA BURE HAZARAULIKI HATA SIKU MOJANdiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo na ama Ujinga au Upumbavu wake.
Basi mama Samia anahusikaKatika hili namtetea Makonda. Ishu ya stendi ilikwamishwa na aliyekuwa RC wakati huo Gambo. Lilitengwa eneo zuri karibu na mjini na linalofikika kirahisi ila kwa fitina zake akapeleka kwingine. Stendi imekwamishwa na siasa chafu za Gambo. Makonda katika hili hahusiki.
Makonda ni kelele tu.. toka aje Arusha hakuna lolote alilofanya la maanaNdiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo na ama Ujinga au Upumbavu wake.
Kumbe wewe ndio Kigogo mwenyewe uliendika kule ππNdiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo na ama Ujinga au Upumbavu wake.
Mkuu wewe ndie huna akili, Makonda kawa RC wa Arusha hivi majuzi tu na mipango ya mambo ya ujenzi wa stand ya mkoa ni tofauti na ujenzi wa matundu ya vyoo, muulizeni Mbunge wenu ambaye anakumbuka shuka kumekucha, kumlaumu Makonda kwa ujenzi wa stand ni kumuonea tu, je akina Chalamila wamejenga stand zipi?Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo na ama Ujinga au Upumbavu wake.
Nitafute tu halafu ukimbilie kwa Moderators kutoa lawama kuwa nakukosea Heshima.Huyo hana tofauti na wewe ,kelele nyingi kichwani na mfukoni Hamna kitu.
Sawa Baba Kelvin Keegan umesikia vyema.Kazi ya mbunge Gambo hio, yupo hapo muda sasa, Makonda haimuhusu kivile. Hayo matamasha yanainua mkoa wa Arusha kiuchumi hata mamtoni yapo hayo haswa summer time,.
Kigogo kaandikaje huko Kule Mkuu wangu?Kumbe wewe ndio Kigogo mwenyewe uliendika kule ππ
ChoiceVariableKatika hili namtetea Makonda. Ishu ya stendi ilikwamishwa na aliyekuwa RC wakati huo Gambo. Lilitengwa eneo zuri karibu na mjini na linalofikika kirahisi ila kwa fitina zake akapeleka kwingine. Stendi imekwamishwa na siasa chafu za Gambo. Makonda katika hili hahusiki.
Tanzania ujinga ni kipaji, wapumbavu waliopo Tanzania huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo na ama Ujinga au Upumbavu wake.