RC Makonda tunaomba msaada Tanfom Arusha wamejaza udongo kwenye barabara Moshono-Losirway

RC Makonda tunaomba msaada Tanfom Arusha wamejaza udongo kwenye barabara Moshono-Losirway

mwenyehekima

Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
25
Reaction score
16
Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa.

Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi utembee mbali kwa miguu ukweli ni hatari sana kwetu.

Tunaomba sana msaada wako mkuu, sema neno wananchi wa Losirway tupone na hii taabu.

20240418_134331.jpg
 
Back
Top Bottom