RC Makonda: Watanzania wengi wamewekeza kwenye umbea kuliko kutafuta taarifa za Kiuchumi na Biashara

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Na huu ndio ukweli unakutana na mtu hajui chochote Cha maana zaidi ya mambo ya kijinga yasiyo na msingi na ndio sababu wengi wanatumiwa na wajanja kujinufaisha.

On top of that ujinga wa Watanzania ndio sababu wanapigwa na matapeli na wajasilia dini.

Your browser is not able to display this video.

My Take
Bila kubadilika Kila siku wataishia kulalamika na kulaumu Serikali.
 
Hajataja uchawa ajira inalipa
 
Tumewekeza kwenye simba na yanga
 
Leo kapatia sana
 
No offence rc amesema ukweli, look at jamii ya kinzania, focused on udaku, umbea , wengine ndio wamegeuza full time job

Kufanya kazi ahhh, (si watz wote lakini)
 
Yeye baada ya kuzungusha zero alipomaliza form4 mbona hakwenda VETA? Badala yake akageuka chawa kwa familia ya yule born town mstaafu asiyetaka kustaafu? Na uchawa ndio unanenepesha tumbo lake kwa sasa. Ule haukuwa umbea?
 
Alipata kazi ya uchawa Kwenye siasa Kwa marehemu mzee Sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…