RC Makonda: Watanzania wengi wamewekeza kwenye umbea kuliko kutafuta taarifa za Kiuchumi na Biashara

Na huu ndio ukweli unakutana na mtu hajui chochote Cha maana zaidi ya mambo ya kijinga yasiyo na msingi na ndio sababu wengi wanatumiwa na wajanja kujinufaisha.

On top of that ujinga wa Watanzania ndio sababu wanapigwa na matapeli na wajasilia dini.

My Take
Bila kubadilika Kila siku wataishia kulalamika na kulaumu Serikali.
Yuko sahihi
 
Hakika 100% yupo sawa...kama jana wamezuiwa Angola lawama wanapeleka kwa ubalozi!
 
Back
Top Bottom