Kama tumeandikiwa kufa kwa korona acha tufe tukiwa tumesimama, sio kufa umejificha chumbani.
Kila MTU afanye kazi kama kawaida japo kwa umakini.
Hata shuleni/Vyuoni kuna wale wenye uelewa mdogo kama wewe. Hivyo sishangai hata kidogo. Wenzako wameelewa!Hata haieleweki unalalamika, unasimulia, unatoa tangazo, au unahutubia??
Shida ni nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakuwa na vifaa na labs za kupima. Wewe unaona huyo kiongozi wa Burundi zinamtosha? Ana tofauti gani na huyu asiyejua anachoongea?Burundi wana wagonjwa wawili, na wao wanaficha?
Ikulu ni ofisi ya umma, hata Rais ni mtumishi wa umma, hawezi kuchomoka tu bila taarifa yoyote, na kwa kawaida wakati wa mapumziko ya sikukuu ndio huwa anakwenda kupumzika kwao, but this time....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda anatamani kuwa waziri wa afya kipindi hiki Cha corona ili apate Kuongolewa.
Bashite katumwa.Ni maagizo kutoka juuHizi kauli tata za viongozi muda wowote dunia inaweza kututenga!