field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Huu ugonjwa haupo ila unaweza letwa kwa makusudi kutimiza agenda zao.Yawezekana au isiwezekane kuwa yuko sahihi maana kwa kauli za namna hiyo bila kuwa na akiba ya maneno ni hatari zaidi kuliko imani aliyonayo kuhusu corona..kauli yake isije kufatiliwa na maadui kutimiza uovu wao katika taifa letu maana wanaweza kufanya juu chini ili huu ugonjwa uenee nchi nzima ikiwa ni jitihada za kutukomoa ili wapate kuaminika kweli kwamba ugonjwa huu ni hatari sana
We yamekukukuta?Unaongea tu hayajakukuta wewe.
wanakosea aana kuongea waziwazi. sasa mfano itokee corona ipige kisawa sawa watasemajeMkuu wa mkoa wa Dar Makonda amewashangaa wananchi kujifungia ndani kisa Corona.
Makonda amesema watu watoke wakafanye kazi taratibu za kujikinga na corona ziko wazi, hivyo kujifungia ndani kisa Corona ni uzembe.
Amewashangaa wafanyabiara kufunga maduka kisa Corona.
Pia ameonya wanaosambaza habari kuwa kuna wagonjwa wengi ila wanafichwa, amehoji kwenye familia yako kuna mtu anaumwa corona ama amekufa na corona serikali imeficha.
NB. Kwa hizi kauli za viongozi ikitokea Corona ikatupiga sawasawa sidhani kama kuna Taifa litatia mguu kutusaidia.
Hata kama serikali ina msimamo wake kuhusu hili wangefanya kimya kimya, kutangaza hadharani hivi ni hatari kwa mstakabali wa Taifa letu.
mnajipa presha za bure tu!hakuna ugonjwa wenye scale ya kukutisha hivyo bhana,politics tu!🚶♂️🚶♂️Ni nini chenye umuhimu kuliko uhai? Bunge shughuli zinaweza kusimama kwa muda ili kuokoa uhai. Je uhai ukipotea bunge litaurudisha?
Graph,
Kwa taarifa yako: jana huko UK miongoni mwa wagonjwa waliofariki kuna watu 40 ambao walikuwa wazima kabisa. Yaani hawako kwenye risk group.
Unless kama unaniambie Tanzania itumie ursa ya huu ugonjwa kupunguza idadi ya raia wake.
Mimi sijapendekeza watu wakae ndani. Hoja yangu ni kuwa kuna mikusanyiko isiyo na ulazima bado inafanyika. Na viongozi wengine wajinga kama Makonda wanawafanya watu wasiwe makini kwa kuhimiza ujinga uliowajaa vichwani.Tatizo la virus kama hawa wanaweza mutate wakati wowote akageuka akawa virus mpya anayeua vibaya, ila tuseme ukweli Tanzania ikisema watu wasitoke nje watu watakula vipi? Watu wana njaa balaa.
Labda kila mtu aanze kutembea na mask na wabane kwelikweli mikutano hasa wadandia daladala maana wanagusana mno, na makanisani, sijaona watu wanasali kama watanzania dunia nzima. Kukaa ndani sio solution kabisa kwa nchi kama Tanzania watu watakufa njaa balaa, the maj
Acha urongo/uongo. Muongo mkubwa kabisa. Lini Italy waliambiwa wajifungie ndani wakakataa?hivi mnatuona sisi wabongo ni viazi sana ee?Mkuu kilichofanyika Italy ni Kama hiki kinachofanyika hapa kwetu.waliambiwa wajifungie ndani wakajifanya wao wanajua kupiga kazi,by the time wanajifungia ndani tayari kila familia Ina mwathirika then wakaanza kuambukizana ndani kwa ndani,Kama Tanzania haina Mungu wa pekee yake,Basi utaniambia kitakachotokea Makonda na Magufuli huko tuendako,tuombe uzima
Mkuu uwe unasoma unaelewe,kwani hapa kwetu Kuna mtu kaambiwa akae ndani?Acha urongo/uongo. Muongo mkubwa kabisa. Lini Italy waliambiwa wajifungie ndani wakakataa?hivi mnatuona sisi wabongo ni viazi sana ee?
Taarifa zako unaziokota wapi? Burundi ina wagonjwa 3. Burundi haikuwa na kipimo chochote cha kuthibitisha kirusi cha corona. Wamepewa vifaa hivi karibuni, na tayari wamethibitisha uwepo wa wagonjwa 3.Burundi wana wagonjwa wawili, na wao wanaficha?
Fuatilia maambukizi na mlipuko ili ujue ni baada ya muda gani unategemea mlipuko.maradhi hayafichiki, wagonjwa wa corona wangekuwepo ingejulikana tu.tungeona hospitalini mrundikano wa wagonjwa, kama ni kulipuka, toka mgonjwa wa kwanza agundulike mpaka leo ungeshalipuka kitambo?