Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Jali afya yako usisubiri mwingine ndo akushauriKila mtu mdomo ukimuwasha anaongea chake. Bora rais aje atoe muongozo kama ni lockdown au curfew.
Kuliko huu utoto unao fanywa, mara take away mara kuvaa masendeu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo na kibarua tuache? Wengine tumeajiriwa mkuuNani amekuzuia kuji-lockdown wewe mwenyewe na familia yako?
Huhitaji ruhusa ya mtu kujifungia mwenyewe!! Anza wewe kujilockdown mwenyewe!
Achana na mambo ya bure utaumia.Katika yale mabilioni yaliyochangwa kudhibiti corona wanunue hizo masks wagawe bure kisha ndiyo waje na hayo maamrisho yao.
Huyu Makonda si aliwalaumu watu wanaokaa ndani na kufunga maduka, leo nini kimebadilika?
Waziri Mkuu na Waziri wa Afya, hivi RC ana elimu gani ya afya ya kutoa matamko ?
Kwanini ana nguvu kuliko Waziri mkuu? Nani anampa nguvu hizo?
Nani alisema 'infectious disease control' inaweza kufanywa na sehemu moja ya nchi!
Vifo na maambukizi ya Corona ni matokeo ya Serikali kushindwa.
Mwezi May watu wajiandae kuona umma unavyopukutika!
JokaKuu Pascal Mayalla tindo
Ana nguvu za kiutawala kuliko Waziri Mkuu !Makonda ana nguvu ya kutoa matamko atakavyo, maana anajua hata hizo kamati za kupambana na corona ikiwemo ya waziri mkuu, wanadanganya mambo mengi. Rejea kauli ya waziri wa afya kuwa sasa wameamua kusema ukweli.
Ana nguvu za kiutawala kuliko Waziri Mkuu !
Wakati Anatoa hayo maagizo yeye hakuwa amevaa barakoa? Au kwa kuwa yeye vidole vyake haweki kwenye mikono?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Paul Makonda amesema kuanzia Aprili 20 siku ya Jumatatu kila mtu atakayepanda Daladala na anayekwenda kwenye eneo la manunuzi yeyote lazima awe amevaa Barako (Mask)
Poa siku hiyo ya Jumatatu ameelekeza biashara zote zifanyike katika mfumo wa 'Take Away', hivyo mtu akienda sehemu anunue na aondoke.
Ni kweli. Nadhani PM anaogopa ya Nape. Ilikuwa inaonekana na kufukiwa fukiwa lakini Corona inazidi kutuonyesha ukweli. PM anamhofia sana RC. Hawezi hata kumwambia hili hapana!Sasa hivi mwenye nguvu ni yule anayejipendekeza kwa mfalme. Hizo protacal za kiutawala zipo tu kisheria na kikatiba, lakini uhalisia ni tofauti.
Ni kweli. Nadhani PM anaogopa ya Nape. Ilikuwa inaonekana na kufukiwa fukiwa lakini Corona inazidi kutuonyesha ukweli. PM anamhofia sana RC. Hawezi hata kumwambia hili hapana! Unaona jinsi PM alivyojawa na hofu. Huyu Bwana ana madaraka makubwa sana nchini, sidhani Waziri wa Afya na naibu wake wanaweza hata kumpigia simu.
Yaani ni chaos tupu, huelewi nani kasema nini. Hatuelewi guidelinesHawamtubutu na pia hawampendi, na yeye kwakuwa anajua hawapendi, basi hana muda ya kuwatafuta bali anafanya kwa utashi wake. Matokeo yake ndio haya unayoyaona.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Paul Makonda amesema kuanzia Aprili 20 siku ya Jumatatu kila mtu atakayepanda Daladala na anayekwenda kwenye eneo la manunuzi yeyote lazima awe amevaa Barako (Mask)
Poa siku hiyo ya Jumatatu ameelekeza biashara zote zifanyike katika mfumo wa 'Take Away', hivyo mtu akienda sehemu anunue na aondoke.
mbingunikwetu hili jibu ni mujarabu kwako!!Pamoja na maelezo yako hafifu...ukitazama hiki ulichoandika unahisi umejibu hiyo comment ya mdau...
Pia kwa taarifa yako hiyo bei ya 25oo ni bei ya kitapeli fuatilia bei yake halisi ndio utaelewa.
Bwana weeee usilete uzungu koko hapa!Kula kwa mama ntilie,hotel,bars ,wachoma chips kwa mji ulioathirika na corona Ni hatari
Vidole haweki kwenye mikono? Kivipi mkuu?Wakati Anatoa hayo maagizo yeye hakuwa amevaa barakoa? Au kwa kuwa yeye vidole vyake haweki kwenye mikono?
Sijakataa na wao ndo chanzo Cha mapato Chao,,tatizo wadudu Hawa wa corona hawalitambui Hilo..Bwana weeee usilete uzungu koko hapa!
Hao akina mama wanategemea kuuza chakula ili waishi!
Unataka wafanyeje? Wakae nyumbani wafe njaa pamoja na familia zao!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna hamna hiyo hela ikapunguze makali ya Beituzipate japo kwa tsh 1000/@Katika yale mabilioni yaliyochangwa kudhibiti corona wanunue hizo masks wagawe bure kisha ndiyo waje na hayo maamrisho yao.
Ukweli mwingine ni indirect.Hii ni dalili maambukizi yamezidi, ukiona hatua kali zinazidi kuchukuliwa ujue hali ni mbaya zaidi ya tunavyodhania/kuambiwa.
Japo jana wamesema wataanza kutuambia ukweli, tujihadhari Corona inatuchapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hijab ni 'waterproof' ni sawa.Wengine tunavaa hijab mambo ya kujistir 🧕 na midomo tunafunika ninja