RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

Katika yale mabilioni yaliyochangwa kudhibiti corona wanunue hizo masks wagawe bure kisha ndiyo waje na hayo maamrisho yao.
Achana na mambo ya bure utaumia.
===
Tekeleza maagizo yanayotolewa kwa ajili yako na wengine.
 
Huyu Makonda si aliwalaumu watu wanaokaa ndani na kufunga maduka, leo nini kimebadilika?

Waziri Mkuu na Waziri wa Afya, hivi RC ana elimu gani ya afya ya kutoa matamko ?
Kwanini ana nguvu kuliko Waziri mkuu? Nani anampa nguvu hizo?

Nani alisema 'infectious disease control' inaweza kufanywa na sehemu moja ya nchi!

Vifo na maambukizi ya Corona ni matokeo ya Serikali kushindwa.

Mwezi May watu wajiandae kuona umma unavyopukutika!

JokaKuu Pascal Mayalla tindo
 
Makonda ana nguvu ya kutoa matamko atakavyo, maana anajua hata hizo kamati za kupambana na corona ikiwemo ya waziri mkuu, wanadanganya mambo mengi. Rejea kauli ya waziri wa afya kuwa sasa wameamua kusema ukweli.
 
Ana nguvu za kiutawala kuliko Waziri Mkuu !
 
Ana nguvu za kiutawala kuliko Waziri Mkuu !

Sasa hivi mwenye nguvu ni yule anayejipendekeza kwa mfalme. Hizo protacal za kiutawala zipo tu kisheria na kikatiba, lakini uhalisia ni tofauti.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Paul Makonda amesema kuanzia Aprili 20 siku ya Jumatatu kila mtu atakayepanda Daladala na anayekwenda kwenye eneo la manunuzi yeyote lazima awe amevaa Barako (Mask)

Poa siku hiyo ya Jumatatu ameelekeza biashara zote zifanyike katika mfumo wa 'Take Away', hivyo mtu akienda sehemu anunue na aondoke.
Wakati Anatoa hayo maagizo yeye hakuwa amevaa barakoa? Au kwa kuwa yeye vidole vyake haweki kwenye mikono?
 
Sasa hivi mwenye nguvu ni yule anayejipendekeza kwa mfalme. Hizo protacal za kiutawala zipo tu kisheria na kikatiba, lakini uhalisia ni tofauti.
Ni kweli. Nadhani PM anaogopa ya Nape. Ilikuwa inaonekana na kufukiwa fukiwa lakini Corona inazidi kutuonyesha ukweli. PM anamhofia sana RC. Hawezi hata kumwambia hili hapana!

Unaona jinsi PM alivyojawa na hofu. Huyu Bwana ana madaraka makubwa sana nchini, sidhani Waziri wa Afya na naibu wake wanaweza hata kumpigia simu.
 
Ni kweli. Nadhani PM anaogopa ya Nape. Ilikuwa inaonekana na kufukiwa fukiwa lakini Corona inazidi kutuonyesha ukweli. PM anamhofia sana RC. Hawezi hata kumwambia hili hapana! Unaona jinsi PM alivyojawa na hofu. Huyu Bwana ana madaraka makubwa sana nchini, sidhani Waziri wa Afya na naibu wake wanaweza hata kumpigia simu.

Hawamthubutu na pia hawampendi, na yeye kwakuwa anajua hawapendi, basi hana muda ya kuwatafuta bali anafanya kwa utashi wake. Matokeo yake ndio haya unayoyaona.
 
Hawamtubutu na pia hawampendi, na yeye kwakuwa anajua hawapendi, basi hana muda ya kuwatafuta bali anafanya kwa utashi wake. Matokeo yake ndio haya unayoyaona.
Yaani ni chaos tupu, huelewi nani kasema nini. Hatuelewi guidelines

Leo Naibu Waziri ambaye ni Dr kitaaluma anafuata maagizo ya RC baada ya kumsikia .
PM kaamua kukaa pembeni kwa hofu ya kumgusa!

Anatamba tu na wanaosema ni 'Naibu'' wana ukweli fulani.
 
Yeye mwenyewe anapopwayuka kwenye mikusanyiko havai barakoa. Ni mfano mbaya kabisa kama kiongozi!
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Paul Makonda amesema kuanzia Aprili 20 siku ya Jumatatu kila mtu atakayepanda Daladala na anayekwenda kwenye eneo la manunuzi yeyote lazima awe amevaa Barako (Mask)

Poa siku hiyo ya Jumatatu ameelekeza biashara zote zifanyike katika mfumo wa 'Take Away', hivyo mtu akienda sehemu anunue na aondoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana weeee usilete uzungu koko hapa!

Hao akina mama wanategemea kuuza chakula ili waishi!

Unataka wafanyeje? Wakae nyumbani wafe njaa pamoja na familia zao!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa na wao ndo chanzo Cha mapato Chao,,tatizo wadudu Hawa wa corona hawalitambui Hilo..
Hawafi haraka kwenye hizi sahani za plastic,,Kama muosha vyombo akiwa anasuuza kwa kulipua Ni ishu,,achilia mbali mkusanyiko unapikuwa mkubwa wa wateja,hata vijiko vinalowekwa tu kwenye maji,na kusuuzwa haraka haraka anapewa mteja mwingine
 
Big up sana makonda nimepitia comment nyingi kwenye mtandao naona wajinga wachache wanabeza agizo la makonda lakini wengi wao wameunga mkono nakesho mtashangaa watu walivotii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom