RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

Alisema msikae mkala pale pale. Mnunue chakula, bebeni mkale mbele ya safari bila kuweka mkusanyiko kwa mama ntilie.
 
Ili kuepuka corona wakaazi wa Dar wapigwa marufuku kula kwa mama lishe, hili agizo siyo kama linakiuka aliyoagiza Rais na waziri mkuu kuwa hawata fungia watu ndani!

Kitendo cha kupiga marufuku watu kula kwa mama lishe maana yake mama lishe marufuku kutoa huduma, Hiyo ni lockdown tayari.

Chanzo: Gazeti la Mtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
ila makonda sometime ni kama anaumwa ugonjwa wa akili
 
Kumuonyesha kuwa tuko makini tutakuwa tunasimama umbali wa kilomita 2.5 kati ya ntu na ntu
 
Katika yale mabilioni yaliyochangwa kudhibiti corona wanunue hizo masks wagawe bure kisha ndiyo waje na hayo maamrisho yao.
Hata vitu vinavyohusu afya yako unataka serikali ikugawie, atakayekufa nani wewe au serikali?
 
Inatumika nguvu kubwa kuzuia mikusanyiko ktk bar...

Ni heri wangezuia shughuri za bar, hotel, mamalishe, usafiri wa abiria kwa kutoa tamko linaloeleweka... Wakati huohuo watoe na njia mbadala wa kupata huduma hizo.
Kweli mkuuu yaani maamuzi yao ni nusunusu mno hayajakamilika
 
EVyBiIZWkAEXps9.jpeg
 
Barakoa million Hamsini na Tano(55,000,000) au tuseme Million Saba(7,000,000) lockdown is necessary
 
Ili kuepuka corona wakaazi wa Dar wapigwa marufuku kula kwa mama lishe, hili agizo siyo kama linakiuka aliyoagiza Rais na waziri mkuu kuwa hawata fungia watu ndani!

Kitendo cha kupiga marufuku watu kula kwa mama lishe maana yake mama lishe marufuku kutoa huduma, Hiyo ni lockdown tayari.

Chanzo: Gazeti la Mtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Magazeti ya bongo ndivyo yalivyo mkuu, alichokizungumza ni kuwa ifanyike huduma ya take away, siyo watu wajazane kula kwa mama ntilie, which is true!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya kuna msemaji mmoja tu wa hili suala la Corona ambaye ni waziri wa Afya na ni mtaalamu kwenye hii sekta ya Afya,hivyo akisema kitu kinazingatiwa maana watu wanaamini kuwa mtaalamu wa suala huaika amelisema hilo jambo. Huku kwetu tuna wasemaji wasio idhinishwa na mamlaka husika hivyo imekuwa shida sana
 
Back
Top Bottom