Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
๐๐๐๐๐๐Ghiriba na hadaa zimeanza
๐๐๐๐๐๐Ghiriba na hadaa zimeanza
Kweli hii nchi ya sarakasi. Yaani unampoteza mtu na unajua hatapatikana kisha unaahidi zawadi kwa atakaemuonaMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa.
Hata hivyo, amesema pamoja na yeye kutojua tukio hilo, kwakuwa limetokea mkoani kwake akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ameamua kulifanyia kazi kuhakikisha haki inapatikana, huku akilaani na kusikitishwa na tukio hilo.
Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake jijini Mbeya Mei 2, 2025 na watu waliojitambulisha kuwa polisi, lakini bado haijafahamika hali ya kada huyo na wapi alipo, hivyo kuibua sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho.
Akizungumza leo Jumatatu, Mei 5, 2025 baada ya viongozi wa Chadema mkoani humo na Kanda ya Nyasa kufika ofisini kwake kujua hatua zilizochukuliwa, Dk Homera amesema yupo pamoja na chama hicho kuhakikisha Mdude anapatikana.
Hata hivyo, amesema kufuatia matukio hayo, anatarajia kukutana na viongozi wa kimila kujadiliana namna ya kukabiliana na sintofahamu hiyo, huku akikiri kuwa hali hiyo inawatisha akitoa matumaini kwa wananchi kuwa mkoa huo utabaki kuwa wa amani.
๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐ Nimekaa nikakumbuka yule jamaa alie mchoma mkewe na mkaa kule kigamboni, nae aliahidi milioni tano kwa atakae mpata mkewe.
Nyuma ya pazia yeye ndo kamaliza mchezo.
Hivi kwani milioni tano inani lakini na matukio ya kupotea watu ๐๐.?
Hiyo pesa ajipe yeye mwenyewe then tutanamuongezea nyingine kama hiyo mdude apatikane.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa.
Hata hivyo, amesema pamoja na yeye kutojua tukio hilo, kwakuwa limetokea mkoani kwake akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ameamua kulifanyia kazi kuhakikisha haki inapatikana, huku akilaani na kusikitishwa na tukio hilo.
Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake jijini Mbeya Mei 2, 2025 na watu waliojitambulisha kuwa polisi, lakini bado haijafahamika hali ya kada huyo na wapi alipo, hivyo kuibua sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho.
Akizungumza leo Jumatatu, Mei 5, 2025 baada ya viongozi wa Chadema mkoani humo na Kanda ya Nyasa kufika ofisini kwake kujua hatua zilizochukuliwa, Dk Homera amesema yupo pamoja na chama hicho kuhakikisha Mdude anapatikana.
View attachment 3325347
Hata hivyo, amesema kufuatia matukio hayo, anatarajia kukutana na viongozi wa kimila kujadiliana namna ya kukabiliana na sintofahamu hiyo, huku akikiri kuwa hali hiyo inawatisha akitoa matumaini kwa wananchi kuwa mkoa huo utabaki kuwa wa amani.
Pia, Soma
Huyu RC anacheza na akili zetu,ndiye aliyemuua yule kijana aliyechoma picha ya mzanzibar, hatari sana huyu mtu,sasa tujiulize kama alimuua kijana innocent aliyechoma picha ya mzanzibar vipi awe na machungu kwa mtu anayetishia utawala wa mtesi wetu
Atapatikana mkuu,Mungu mwemaNitatoa 5,000,000 kwa ajili ya kusapoti harakati za kumtafuta Mdude_Nyagali na 10,000,000 kwa MTU yoyote yule atakayefanikisha kutoa taarifa Sahihi za nini kilitokea na wapi alipo.
Polisi/TISS au taasisi yeyote atakayesaidia kushinikiza kupatikana kwa ukweli nitampa 5,000,000. Naomba Maxence Melo uweke kumbu kumbu kwenye hili. mojawapo Kati ya hilo likifanyika, nitatoa
Amen ๐Atapatikana mkuu,Mungu mwema
Sasa kama mtuhumiwa anatoa hicho kiasi au labda anataka apelekewe ushahidi kisha auharibu na kumgeuka atakaetoa ushaidiMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa.
View attachment 3325348
Hata hivyo, amesema pamoja na yeye kutojua tukio hilo, kwakuwa limetokea mkoani kwake akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ameamua kulifanyia kazi kuhakikisha haki inapatikana, huku akilaani na kusikitishwa na tukio hilo.
Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake jijini Mbeya Mei 2, 2025 na watu waliojitambulisha kuwa polisi, lakini bado haijafahamika hali ya kada huyo na wapi alipo, hivyo kuibua sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho.
Akizungumza leo Jumatatu, Mei 5, 2025 baada ya viongozi wa Chadema mkoani humo na Kanda ya Nyasa kufika ofisini kwake kujua hatua zilizochukuliwa, Dk Homera amesema yupo pamoja na chama hicho kuhakikisha Mdude anapatikana.
View attachment 3325347
Hata hivyo, amesema kufuatia matukio hayo, anatarajia kukutana na viongozi wa kimila kujadiliana namna ya kukabiliana na sintofahamu hiyo, huku akikiri kuwa hali hiyo inawatisha akitoa matumaini kwa wananchi kuwa mkoa huo utabaki kuwa wa amani.
Pia, Soma
Nimecheka kwa hasira kmmmk zake. Yaani wananchi wamempelekea mpaka na ushahidi anataka nini. ? Huyu ndiye kahusika kuna uzi umesema hiliMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa.