PreGE2025 RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Imeisha hiyo!

Most likely baada ya kumuua wameenda kumtupa kwenye mito yenye viboko na mamba iliyopo Mbeya. So anajua kwa hakika Mdude hatopatikana kamwe.

Waliofanya tukio husika ni Polisi na vijana wa CCM walioagizwa na yeye so anajua hakuna atakayejua wahusika.

Ushauri kwa Chadema.
Hii ni forcd disappearance endapo akipatikana hai baadae au crimes against humanity ya Mauaji ya Wapinzani wa Kisiasa so wekeni ushahidi wa tukio hili ili kuwasilisha baaadae Mahakama za Kimataifa za Makosa ya Jinai.

Anzisheni very serious na bold movement kuitaka ICC kuchunguza haya matukio na hatimaye kutoa arrest warrant kwa wahusika.
Serikali ya CCM imeua Mdude kikatili sana, NI HUZUNI.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa.

View attachment 3325348
Hata hivyo, amesema pamoja na yeye kutojua tukio hilo, kwakuwa limetokea mkoani kwake akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ameamua kulifanyia kazi kuhakikisha haki inapatikana, huku akilaani na kusikitishwa na tukio hilo.

Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake jijini Mbeya Mei 2, 2025 na watu waliojitambulisha kuwa polisi, lakini bado haijafahamika hali ya kada huyo na wapi alipo, hivyo kuibua sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho.

Akizungumza leo Jumatatu, Mei 5, 2025 baada ya viongozi wa Chadema mkoani humo na Kanda ya Nyasa kufika ofisini kwake kujua hatua zilizochukuliwa, Dk Homera amesema yupo pamoja na chama hicho kuhakikisha Mdude anapatikana.
View attachment 3325347
Hata hivyo, amesema kufuatia matukio hayo, anatarajia kukutana na viongozi wa kimila kujadiliana namna ya kukabiliana na sintofahamu hiyo, huku akikiri kuwa hali hiyo inawatisha akitoa matumaini kwa wananchi kuwa mkoa huo utabaki kuwa wa amani.

Pia, Soma
kesha maliza mchezo mbweha huyo
 
Hebu mnikumbushe ney wa mitego aliimbaje kwamba polis wanapewa kazi wamtafute nani?
 
Analeta utani
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku Is Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa.

View attachment 3325348
Hata hivyo, amesema pamoja na yeye kutojua tukio hilo, kwakuwa limetokea mkoani kwake akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ameamua kulifanyia kazi kuhakikisha haki inapatikana, huku akilaani na kusikitishwa na tukio hilo.

Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake jijini Mbeya Mei 2, 2025 na watu waliojitambulisha kuwa polisi, lakini bado haijafahamika hali ya kada huyo na wapi alipo, hivyo kuibua sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho.

Akizungumza leo Jumatatu, Mei 5, 2025 baada ya viongozi wa Chadema mkoani humo na Kanda ya Nyasa kufika ofisini kwake kujua hatua zilizochukuliwa, Dk Homera amesema yupo pamoja na chama hicho kuhakikisha Mdude anapatikana.
View attachment 3325347
Hata hivyo, amesema kufuatia matukio hayo, anatarajia kukutana na viongozi wa kimila kujadiliana namna ya kukabiliana na sintofahamu hiyo, huku akikiri kuwa hali hiyo inawatisha akitoa matumaini kwa wananchi kuwa mkoa huo utabaki kuwa wa amani.

Pia, Soma
Hiyo inataka kufanana na hii 👇👇

View: https://www.youtube.com/watch?v=ag2TyiHepO4&pp=ygUZRkFNSUxJQSBZQSBNTyBERVdKSSBZQVRPQQ%3D%3D
Maana familia ya Dewji ilikuwa inajua kilichotokea na hilo tangazo lilikuwa danganya toto. Na Polisi Mbeya wanajua Jamaa aliko na hii ni movie.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa.

View attachment 3325348
Hata hivyo, amesema pamoja na yeye kutojua tukio hilo, kwakuwa limetokea mkoani kwake akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ameamua kulifanyia kazi kuhakikisha haki inapatikana, huku akilaani na kusikitishwa na tukio hilo.

Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake jijini Mbeya Mei 2, 2025 na watu waliojitambulisha kuwa polisi, lakini bado haijafahamika hali ya kada huyo na wapi alipo, hivyo kuibua sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho.

Akizungumza leo Jumatatu, Mei 5, 2025 baada ya viongozi wa Chadema mkoani humo na Kanda ya Nyasa kufika ofisini kwake kujua hatua zilizochukuliwa, Dk Homera amesema yupo pamoja na chama hicho kuhakikisha Mdude anapatikana.
View attachment 3325347
Hata hivyo, amesema kufuatia matukio hayo, anatarajia kukutana na viongozi wa kimila kujadiliana namna ya kukabiliana na sintofahamu hiyo, huku akikiri kuwa hali hiyo inawatisha akitoa matumaini kwa wananchi kuwa mkoa huo utabaki kuwa wa amani.

Pia, Soma
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana!!!
 
ni upumbavu mnaoufanya.
mna sababisha bashungwa wizara imshinde mapema.
WAKATI MNA HUBIRI AMANI nyie ndo mnatakiwa kuilinda amani..
 
Kitendo cha polisi na mamlaka ya uongozi wa mkoa kukataa kwamba hawapo nae ni ishara tosha kwamba mdude hatutamwona tena akiwa hai
Nakubaliana na wewe Mkuu. Na ndiyo maana Mkuu wa Mkoa akaongea with confidence.
 
Mabwana zenu wa ulaya wanataka kuiwekea TANZANIA vikwazo vya uchumi mtakoma mwaka huu
...shenzi nyieee hizo
 
Sisi tumeshajua ofisi yake ndio imeratibu utekaji kishirikiana na vyombo vya usalama. Anajikuna matak*ni afu ananusa anataka asikie harufu ya nimi zaidi 💩
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa.

View attachment 3325348
Hata hivyo, amesema pamoja na yeye kutojua tukio hilo, kwakuwa limetokea mkoani kwake akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ameamua kulifanyia kazi kuhakikisha haki inapatikana, huku akilaani na kusikitishwa na tukio hilo.

Mdude anadaiwa kuvamiwa na kupigwa nyumbani kwake jijini Mbeya Mei 2, 2025 na watu waliojitambulisha kuwa polisi, lakini bado haijafahamika hali ya kada huyo na wapi alipo, hivyo kuibua sintofahamu kwa wafuasi wa chama hicho.

Akizungumza leo Jumatatu, Mei 5, 2025 baada ya viongozi wa Chadema mkoani humo na Kanda ya Nyasa kufika ofisini kwake kujua hatua zilizochukuliwa, Dk Homera amesema yupo pamoja na chama hicho kuhakikisha Mdude anapatikana.
View attachment 3325347
Hata hivyo, amesema kufuatia matukio hayo, anatarajia kukutana na viongozi wa kimila kujadiliana namna ya kukabiliana na sintofahamu hiyo, huku akikiri kuwa hali hiyo inawatisha akitoa matumaini kwa wananchi kuwa mkoa huo utabaki kuwa wa amani.

Pia, Soma
Punguani huyu
 
Back
Top Bottom