PreGE2025 RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli hii nchi ya sarakasi. Yaani unampoteza mtu na unajua hatapatikana kisha unaahidi zawadi kwa atakaemuona
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu mchezo. 😒😒😒
 
Nitatoa 5,000,000 kwa ajili ya kusapoti harakati za kumtafuta Mdude_Nyagali na 10,000,000 kwa MTU yoyote yule atakayefanikisha kutoa taarifa Sahihi za nini kilitokea na wapi alipo.

Polisi/TISS au taasisi yeyote atakayesaidia kushinikiza kupatikana kwa ukweli nitampa 5,000,000. Naomba Maxence Melo uweke kumbu kumbu kwenye hili. mojawapo Kati ya hilo likifanyika, nitatoa
 
Script tu, Mdude atarudi, wanataka tu kucheza script
 
Hiyo pesa ajipe yeye mwenyewe then tutanamuongezea nyingine kama hiyo mdude apatikane.

Pia atuletee na Shadrack Chaula
 
Huyu RC anacheza na akili zetu,ndiye aliyemuua yule kijana aliyechoma picha ya mzanzibar, hatari sana huyu mtu,sasa tujiulize kama alimuua kijana innocent aliyechoma picha ya mzanzibar vipi awe na machungu kwa mtu anayetishia utawala wa mtesi wetu

Hivi yule dogo hajawai kupatikana?
 
Atapatikana mkuu,Mungu mwema
 
Sasa kama mtuhumiwa anatoa hicho kiasi au labda anataka apelekewe ushahidi kisha auharibu na kumgeuka atakaetoa ushaidi
 
Nimecheka kwa hasira kmmmk zake. Yaani wananchi wamempelekea mpaka na ushahidi anataka nini. ? Huyu ndiye kahusika kuna uzi umesema hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…