PreGE2025 RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Serikali ya CCM imeua Mdude kikatili sana, NI HUZUNI.
 
kesha maliza mchezo mbweha huyo
 
Hebu mnikumbushe ney wa mitego aliimbaje kwamba polis wanapewa kazi wamtafute nani?
 
Analeta utani
 
Hiyo inataka kufanana na hii 👇👇

View: https://www.youtube.com/watch?v=ag2TyiHepO4&pp=ygUZRkFNSUxJQSBZQSBNTyBERVdKSSBZQVRPQQ%3D%3DMaana familia ya Dewji ilikuwa inajua kilichotokea na hilo tangazo lilikuwa danganya toto. Na Polisi Mbeya wanajua Jamaa aliko na hii ni movie.
 
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana!!!
 
ni upumbavu mnaoufanya.
mna sababisha bashungwa wizara imshinde mapema.
WAKATI MNA HUBIRI AMANI nyie ndo mnatakiwa kuilinda amani..
 
Eeeh Mwenyezi Mungu 🙆‍♂️🤦‍♀️😭😭
 
Kitendo cha polisi na mamlaka ya uongozi wa mkoa kukataa kwamba hawapo nae ni ishara tosha kwamba mdude hatutamwona tena akiwa hai
Nakubaliana na wewe Mkuu. Na ndiyo maana Mkuu wa Mkoa akaongea with confidence.
 
Mabwana zenu wa ulaya wanataka kuiwekea TANZANIA vikwazo vya uchumi mtakoma mwaka huu
...shenzi nyieee hizo
 
Sisi tumeshajua ofisi yake ndio imeratibu utekaji kishirikiana na vyombo vya usalama. Anajikuna matak*ni afu ananusa anataka asikie harufu ya nimi zaidi 💩
 
Punguani huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…