PreGE2025 RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Homera ndiye alimuua dogo Chaula na hata huyu Mdude ni yeye amemuua.
 

For now, no one to run to for help.

We just wait for the mountains to dance. Maybe our cries and grieve shall come to a halt.
 
Deal liko hivi michezo uko hivi atakaetoa taarifa za mdude kuonekana ni askari baada ya wao kumtupa misele, kesho yake watasema msamalia mwema alimwona
 
Maigizo., wanajua fika mdude yupo.wapi kashakufa ama bado yupo hai.
Ila % ya Mdude kuwa hai ni 25%.
 
Mbona yeye katajwa kuhusika na tukio hilo, iweje mtuhumiwa ajiingize kupeleleza jambo linalomhusu mwenyewe?
Sasa hizi ni ghilba.
 
RC WA MBEYA kwako mbona maagizo yako ya kukamata wapinzani au wanaopinga wengi wamepotea kupitia maagizo yako.Kijana chaura yupo wapi?
 
Huyo RC asiwaone Watanzania ni wapumbavu.

Kijana aliyechoma Picha ya RAIS yuko wapi.
Mdude yuko wapi?

Huyu RC ni miongoni mwa Viongozi wanaotakiwa ICC. Kwa kifupi ipo siku atalipa haya anayofanya ili kujionyesha kwamba yeye ni Chawa Pro Max.

Hakuna jambo litafanyika kwenye Mkoa wake bila baraka zake kama Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama, kwahiyo aaache kuleta Maigizo kwenye nyakati mbaya!
 
Moto wa jehanum inawasubiri kwa dhambi hii kubwa
 
Niko hapa nami nimeshindwa kuacha kushangaa.
 
Viongozi wa kimila wanahusikaje?
 
Kama vipi wawaite WA FBI and BSY wafwatilie matukio yote , wamalize Kazi. Waanzie kupigwa risasi kwa Lissu Hadi kwa Mdude otherwise this is foolish.
 
Hata jana milion 5 nyingi zilitolewa kwenye tuzo za wa andishi bora kumbe mta endelea kutoa,,, mmmh haka ka mchezo kamekaa OVYO ETI WATEKAJI WASIO JULIKANA
 
Nchi ya maigizo hii
Wanaona dalili si nzuri toka EU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…