PreGE2025 RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimeikumbuka movie ya Blacklight ya Liam Neeson.... ambapo dola inafuatilia wanaharakati wanaoipinga dola na pia majasusi waliokengeuka kupinga maonevu ya dola dhidi ya raia, ikiwemo mauaji ya waandishi wa habari whistle blowers wanaoandika maovu ya vyombo vya usalama.... .The film stars Liam Neeson as an FBI operative who gets involved in a government conspiracy........



TOKA MAKTABA :

02 May 2025
Mbeya, Tanzania

2 hours ago — Initial claims on social media suggest unknown assailants forcibly entered Mr Nyagali's home, attacked him with blunt...

Mdude Nyagali is a well-known Tanzanian activist. Mdude has worked tirelessly to fight and advocate for human rights and good governance in ... Author- FiveYears Of Pain. - To buy my Book, please ... go to ...

01 October 2021
#Tanzania Mdude Nyangali was abducted and tortured twice and charged falsely with narcotics possession and held in detention without bail for over one year. In this exclusive #MariaSpaces Twitter session, he narrates what he experienced during these atrocious periods in his life.#MariaSpaces is reproduced with permission from owner...

View: https://m.youtube.com/watch?v=_aY3qxnEGjg
 
Mpaka sasa wengine tunalaani hii senseless killing.

Mdude kupatikana hai kwa sasa ni miujiza tu (binafsi naombea hiyo miujiza) itokee kweli hata kama nafasi yake ni ndogo.

Yaani kabisa Mdude wa kwenda kumdhuru, ni watu wa hovyo mno wanaweza toa hiyo amri na wenye matumizi mabaya sana ya madaraka.

JF kwa ujumla wake, ukitoa chawa wachache: Lakini wachangiaji wengine wa vyama vyote vya including wa CCM wanaojitambua.

Siku mwili wa Mdude ukipatikana (Mungu epeshulia mbali ili shari) ndio siku hii serikali ya ‘bi tozo’ itadharaulika zaidi.

How shallow and desperate do you have to be hadi kwenda kumdhuru mtu kama mdude CDM.

Wengi hatutaki kupata our worst outcome, ila habari ikija kwakweli itatuumiza nani mwenye akili timamu anaweza chukua uhai wa Mdude.

Dear god
 
 
Simulizi za Mdude Nyagali zinatupa mwanga ni kina nani waliopo nyuma ya utekaji, movie ya Blacklight inatupa uelewa wakati tukimsikiliza simulizi za Mdude kujua dola inafanya michezo gani hatari :

PART 2 : SIMULIZI ZA MDUDE

View: https://m.youtube.com/watch?v=moRuHUGnOqw
 
Mh. Tulia Ackson mbunge wa Mdude Nyangali jimbo la Mbeya mjini ahojiwa na Wasafi Media juu ya utekaji, na dau la mkuu wa mkoa wa Mbeya ili watu wajitokeze kutoa taarifa.

09 May 2025

MAJIBU YA TULIA KUPOTEA KWA MDUDE, UTEKAJI NA WATU WASIOJULIKANA, ​


View: https://m.youtube.com/watch?v=wZasImqJgWY
 

Tulia Ackson anasema kuna watu wanazamia (stowaway), kuna watu wamefungiwa ndani na michepuko yao n.k hivyo hili la Mdude Nyangali kutekwa ni msamiati unaotumiwa kwa sasa vibaya na watanzania, hivyo Bunge la Tanzania haliwezi kujadili.
 
Ametoa hiyo ahadi wakati anajua ukweli na undani wa alichokiagiza afanyiwe Mdude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…