johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amina bwashee!Nasikiliza hapa Askofu shoo anashindilia nyundo kuwa sisi tusijione kuwa ni bora kuliko nchi zingine, pia anasema tusijitenge na mataifa mengine katika vita dhidi ya corona
Vingozi wetu waajabu sana huyu mama juzi kakataa kabisa Kilimanjaro hamna Corona leo iweje akiri kuna Corona? Mbona hajielewi?Aisee !!!!
Huyu mama si majuzi tu alisema hali ni Shwari ? Au alingoja Askofu afe ili a-confirm ushwari wa mambo ?, Au Alingoja Marathon iishe ? Au ugonjwa umeingia jana ?
"....tusifurahie vifo vya wenzetu.." Askofu ShooNasikiliza hapa Askofu shoo anashindilia nyundo kuwa sisi tusijione kuwa ni bora kuliko nchi zingine, pia anasema tusijitenge na mataifa mengine katika vita dhidi ya corona. Pa ameshauri kuwa tusifurahie vifo vya wenzetu
Tuambine ukweli unafikiri hawa wanaopotosha kwamba hakuna Corona siku wakipata na kupoteza maisha watu hawatafurahi? La hasha hata Shoo anajua watu watafurahi ni kawaida.Nasikiliza hapa Askofu shoo anashindilia nyundo kuwa sisi tusijione kuwa ni bora kuliko nchi zingine, pia anasema tusijitenge na mataifa mengine katika vita dhidi ya corona. Pa ameshauri kuwa tusifurahie vifo vya wenzetu
Bagonza alifunga mwaka jana mkamuita mpinga Kristo na maneno yote ya kejeli.Kwanini wasifunge makanisa kwa muda hadi Corona ipotee?
Anajielewa Sana, sasa km uko ktk mazishi ya mtu ambaye imethibitika amekufa kwa korona utaongea nini zaidi ya kukiri.Kama Wenye msiba wanaongea korona,we Ni nani hata uwakataze. Au ujitoe fahamu useme hamna korona.Vingozi wetu waajabu sana huyu mama juzi kakataa kabisa Kilimanjaro hamna Corona leo iweje akiri kuna Corona? Mbona hajielewi?
Shoo ni majina ya ukoo. pili katibu Shoo aliajiriwa mwaka 1984 wakati Askofu Shoo alichaguliwa kuwa askofu (na jopo la wachungaji) miaka sita iliyopita, najua uvccm mlikuwa mnatafuta namna ya kuhusisha kanisa na undugunization.Askofu Shoo, katibu Shoo; ni mapacha hawa?!