They dance as per the tune...Aisee !!!!
Huyu mama si majuzi tu alisema hali ni Shwari? Au alingoja Askofu afe ili a-confirm ushwari wa mambo?, Au Alingoja Marathon iishe ? Au ugonjwa umeingia jana ?
...Sawa mkuuz but wengi wa wananchi wanaangalia sana yanayofanywa na viongozi wakiamini ndo ya kuigwaCha muhimu wewe chukua tahadhari!
Mkuu mbona baadhi ya viongozi wa serikali wazito sana hapo Hai siwaoni ? Au Marehemu alikuwa Chadema wamemsusa ?Na ametaja watu wanne waliokufa juzi na jana katika Kanisa lao!
Nadhani zinakusanya waja wazito mitaani , maana Mbeya nayo kwa kuzaa !!Mbeya ambulance zipo busy balaa
Atatimuliwa very soonJuzi aliendabkuzindua Kili Marathoni bila tahadhari
Askofu kateuliwa kamkuta katibu yupo kaziniOut of point, kafa mkuu wa jimbo ni Shoo askofu ni Shoo kumbe hata kwa Mungu huko zipo mbereko, sawa.
Rest Easy Man of God.
sasa kama shoo ni jina la ukoo sio ndugu hao?Shoo ni majina ya ukoo. pili katibu Shoo aliajiriwa mwaka 1984 wakati Askofu Shoo alichaguliwa kuwa askofu (na jopo la wachungaji) miaka sita iliyopita, najua uvccm mlikuwa mnatafuta namna ya kuhusisha kanisa na undugunization.
bado haiwazuii kufanya kazi sehemu moja. Mbona kijazi alikuwa katibu mkuu kiongozi na mdogo wake ni naibu katibu mkuu maliasili na utalii lakini hamkuhoji hilo, simbachawene ni waziri na mmdogo/kaka yake ni balozi kenya lakini hamjahoji, ridhiwani ni mbunge na mama yake ni mbunge lakini hamjahoji?sasa kama shoo ni jina la ukoo sio ndugu hao?
Tulifanikiwa kwa kiasi kikubwa na ilipungua sana. Indicators huwa ni vifo. Ongea na madaktari, waombea misiba na wachimba makaburi watakupa trend ya sasa ya iliyopita.Politics zinatupereka Pabaya.. Kwani ilivyoingia ilitoka na Kwenda wapi. Ugojwa huu tunao toka ulipoingia wala haujaondoka au kurudi, Ugonjwa tunao na upo sana toka ulipoingia nchini...
hayo ya kaisari ya Mungu je? Kwa hiyo mnaiga serikali?bado haiwazuii kufanya kazi sehemu moja. Mbona kijazi alikuwa katibu mkuu kiongozi na mdogo wake ni naibu katibu mkuu maliasili na utalii lakini hamkuhoji hilo, simbachawene ni waziri na mmdogo/kaka yake ni balozi kenya lakini hamjahoji, ridhiwani ni mbunge na mama yake ni mbunge lakini hamjahoji?
Kwenye maelezo yangu ya kwanza nliandika kuwa Katibu shoo aliajiriwa na kkkt mwaka 1984 na Askofu Shoo alichaguliwa na wachungaji miaka 6 iliyopita. Kama bado hujaelewa basi siwezi kukusaidia.hayo ya kaisari ya Mungu je? Kwa hiyo mnaiga serikali?
Katibu mkuu ali infkuence kuchaguliwa kwa ndugu yake sababu yeye ndie mtendaji mkuu wa kanisa anayejuana wa wachungaji wotekwenye maelezo yangu ya kwanza nliandika kuwa Katibu shoo aliajiriwa na kkkt mwaka 1984 na Askofu Shoo alichaguliwa na wachungaji miaka 6 iliyopita. Kama bado hujaelewa basi siwezi kukusaidia.
Mbowe tu ndio hajaonekana pale msibani.Mkuu mbona baadhi ya viongozi wa serikali wazito sana hapo Hai siwaoni ? Au Marehemu alikuwa Chadema wamemsusa ?
Halafu Meya anasema watu wavue barakoa mkutanoni, kweli nchi hii tumefika mahali pabaya katika matumizi ya vyeoRC Mghwira ambaye ameongozana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa katika ibada ya mazishi ya Shoo amesema kamati yake imetoka kutathmini hali ya maradhi haya katika mkoa na amewaomba wananchi kuendelea kuchukua tahadhari zote.