Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Habari zinazo zunguka zunguka ni kuwa, kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughuli za Maendeleo, huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama, huyu anamfanya ni muongo.

Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.

Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu.
 
Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu

mkuu unaota

sio siri kali hiiii

akili zamesafili wanatumia ubabe
 
Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu

Huyu RC anaoekana ana mdudu kichwani..!!Hizi chuki anazotengeneza miongooni mwa Watanzania kwa sifa za kijinga na kipumbavu zitamgharimu one day......!!!Asipothibitiwa kuna siku atasababisha mauaji ya KIMBARI......!!
 
unahisi anatoa hizo tamko bila boss wake kuhusika???

Acha kujitoa ufahamu.......
Hata mimi nafikiri "tetesi" hizi zimesahau kamba Mnyeti ndio Bashite wa Manyara. Utasikia "wewe piga kazi tu!"

lakin mm nadhani haya mambo yanamwisho wake!

Mungu aendelee kutupigania.....
 
Back
Top Bottom