chakaza, ya makonda umesahau.... chapa kazi.... umesahau. Hilo halipo hata mbingu zishuke... Magogoni??????????
Exactly, yule ni Bashite wa Manyara!Hata mimi nafikiri "tetesi" hizi zimesahau kamba Mnyeti ndio Bashite wa Manyara. Utasikia "wewe piga kazi tu!"
sure anatoa hizo tamko with a pass from his boss..... chapa kazi as long as unawafanyia wapinzani, piga kaziunahisi anatoa hizo tamko bila boss wake kuhusika???
Acha kujitoa ufahamu.......
Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu

Kila afanyacho kina baraka toka kwa aliemteua mwenye akili timamu haongei utumbo ule lazima woga uwepo.Siasa za kinyama ndio msingi mkuu wa awamu ya 5 , usishangae Mnyeti akiukwaa uwaziri .
Hata mimi nafikiri "tetesi" hizi zimesahau kamba Mnyeti ndio Bashite wa Manyara. Utasikia "wewe piga kazi tu!"