Haya ndiyo mambo ya taaluma kuweka siasa. Kwani hao walimu ndio walifanya mitihani? Yaani uongozi ni talanta sio mabavu. Kuwaweka selo itabadilisha matokeo au?Mkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande wakuu wa shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo
Hatua hiyo imefikiwa hapo jana sikuwa ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa kuwa ni matokeo mabaya ya shule hizo pamoja na makosa mengine.
Natamani wakitoka ndani, wamfungulie mashtaka. Haiwezekani kutesana kwa tukio lolote kisa tu ana mamlaka makubwa!Haya ndiyo mambo ya taaluma kuweka siasa.. Kwani hao walimu ndio walifanya mitihani?? Yaani uongozi ni talanta sio mabavu.. Kuwaweka selo itabadilisha matokeo au??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande wakuu wa shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo
Hatua hiyo imefikiwa hapo jana sikuwa ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa kuwa ni matokeo mabaya ya shule hizo pamoja na makosa mengine.
kuwa katili haimanishi wewe ni shujaaMkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande wakuu wa shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo
Hatua hiyo imefikiwa hapo jana siku ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa kuwa ni matokeo mabaya ya shule hizo pamoja na makosa mengine.
Ipo sheria ya utumishi wa uma inayosimamia mienendo ya utendaji kazi wa watumishi. KunaMkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande wakuu wa shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo
Hatua hiyo imefikiwa hapo jana siku ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa kuwa ni matokeo mabaya ya shule hizo pamoja na makosa mengine.