RC Morogoro awasweka rumande Wakuu wa Shule baada ya shule wanazozisimamia kufanya vibaya mtihani wa Taifa

Huyu mkuu wa mkoa naye anatakiwa ajipeleke sero akiambatana na RAS,REO na timu yake ya wataaluma na wakaguzi, afisaelimu sekondari, wakurugenzi wote wa wilaya na wakuu wa wilaya, maafisaelimu kata na madiwani na watenfaji wa kata kwa kutosimamia elimu katika maeneo yao! Akifanya hivyo atakuwa amewatendea haki waliofeli kwani hawakusimamiwa ipasavyo! Zaidi ya hayo ajiuzulu nafasi yake na watenfaji wote walio chini yake!
 
Mkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande Wakuu wa Shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo pamoja na kuwavua madaraka ya ukuu wa shule

Hatua hiyo imefikiwa hapo jana siku ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa kuwa ni matokeo mabaya ya shule hizo pamoja na makosa mengine.
Pengine watajitambua maana Oktoba watatumika tena.
 
Mkuu umewasahuna na Wazazi. Lakini hii ya kuwaweka ndani watumishi ni "Fashion au ni kutafuta recognition" . Na ina mantiki gani.Wanafunzi ni Vichy.jipe.Wacha.vigodoro na singeri na kuimba Chibu Baba laoo kutwa nzima.Wazazi wa hawaijui Elimu wala hawaithamini.
Wasimamizi wa Sekta ya Elimu wanashinda mashambani tu.
Wengi anahusika kwa kudondoka Elimu Mkoani Morogoro kwa ujumla.Kuwaweka mahabusu Waalimu sio ufumbuzi ni fashion tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande Wakuu wa Shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo pamoja na kuwavua madaraka ya ukuu wa shule

Hatua hiyo imefikiwa hapo jana siku ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa kuwa ni matokeo mabaya ya shule hizo pamoja na makosa mengine.
Vichaa wanaongezeka nchi hii.
 
Natamani wakitoka ndani, wamfungulie mashtaka. Haiwezekani kutesana kwa tukio lolote kisa tu ana mamlaka makubwa!
Na wakisha mfungulia mashitaka walimu wakawachukue wanafunzi wote walopata div 0 na wawape mtihani wa form one terminal na Kama watatoboa Mimi nitalipia hizo garama zote za mitihani.
 
Changamoto za elimu hazitokani na walimu pekee bali kila mtu.

Kuna wanafunzi ni watukutu ,hawasikii na wanajiona wanajua kuliko walimu wao, kumweka ndani Mwalimu kisa mwanafunzi huyu si sawa kabisa.

Kuna wanafunzi hawana utamaduni wa kujisomea mpaka pale mitihani inapokaribia. Kumuweka ndani Mwalimu kwa mwanafunzi kama huyu si sawa.

Kuna wanafunzi wengine hawahudhurii darasani kutokana na changamoto mbalimbali na anatokea wakàti wa mitihani tu.

Walimu pia hawawekwi mbali na lawama za kufeli kwa sababu:

Kuna baadhi ya walimu hawafundishi na wakamaliza topic kwa wakàti matokeo yake mitihani ikikaribia wanalazimisha kumaliza topic na kuwafanya wanafunzi kushindwa kuelewa.

Baadhi ya wakuu wa shule Wana ' Poor management skills' ,yeye ni kushinda ofisini hasikilizi kero za wanafunzi wake kujua changamoto za walimu wake nà walimu wanafanya wanachofanya kwa kuamini hakuna wa kuwakemea.

Ofisi za wakuu wa shule baadhi zimekuwa kama vituo vya polisi, si walimu Wala wanàfunzi wanatamàni kuingia hivyo matatizo ya shule kutotatuliwa kwa wakàti kama linahusu kujadiliana na mkuu wa shule.

Kwa upànde wa walezi/ wazazi

Kunà bàadhi ya wazazi hawafuatilia maendeleo ya mtoto wake shule. Hii inachangia wanafunzi kuwa watoro

Uhusiano hafifu baina ya wazazi na uongozi wa shule unachangia mzazi kutopata taarifa za mtoto wake kwa wakàti

Baadhi ya tabia ambazo Mwalimu hawezi kuzirekebisha kwa wanafunzi ambazo ni mzazi mwenye jukumu Hilo zirekebishwe.

Jukumu la mzazi katika kuasa, kuonya, kukanya tabia mbaya za mtoto wake lisifumbiwe macho maana hiko ndio chanzo Cha matokeo mabaya shuleni

Acha unafiki dogo, kila mara tunasema awamu hii viongozi wanatumia madaraka vibaya, nyie ndio wa kwanza kusema nchi inanyooshwa. Leo walimu wamewekwa ndani kwa ulevi wa madaraka, ndio unajifanya unaona sio sawa.
 
Mkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande Wakuu wa Shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo pamoja na kuwavua madaraka ya ukuu wa shule

Hatua hiyo imefikiwa hapo jana siku ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa kuwa ni matokeo mabaya ya shule hizo pamoja na makosa mengine.
weka ndani wanafunzi mwl cio mtahiniwa
 
Mkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande Wakuu wa Shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo pamoja na kuwavua madaraka ya ukuu wa shule

Hatua hiyo imefikiwa hapo jana siku ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa kuwa ni matokeo mabaya ya shule hizo pamoja na makosa mengine.
Kuna kile chama cha serikali wenyewe wanakiita cha Walimu ngoja tuwasikie, unaweza kuta hata kutoa neno wasitoe

Sent using Jamii Forums mobile app
hicho ndo majanga kuliko janga la Irani na Marekani
 
Mkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande Wakuu wa Shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo pamoja na kuwavua madaraka ya ukuu wa shule

Hatua hiyo imefikiwa hapo jana siku ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa kuwa ni matokeo mabaya ya shule hizo pamoja na makosa mengine.
nina laani kitendo hiki kwa nguvu zote. na mbingu zijue kuwa RC kaikosea heshima hii taaluma. mashukeni huko kuna changamoto nyingi sana.
huko nyuma serikali ilijenga nyumba za walimu ili wakae vituoni. siku hizi shule zinaota kama uyoga, nyumba za walimu hakuna. Mtukufu RC unalijua hilo!
sera mbovu za elimu. ili mwanafunzi aende sekondari apate alama 100 kati ya 250.yaani hata nusu hafiki. Kwa lugha nyingine apate alama 20 kwa kila somo kati ya 50. Fikiria huyu mtoto ndo anakutana na mwalimu wa math form 1 to 4.stream A to D kila darasa. Kuna ufanisi hapo mheshimiwa RC!?
RC kuwa na hofu ya Mungu.
nimalizie kwa mfano huu. aliyekuwa DC MAKETE ndugu Osmundi kapinga. alifanya ziara s/m makangalawe. Hii ilikuja baada ya hii shule kuwa ya mwisho kiwilaya mara tatu mfululizo. Alikuta shule ni kama tubehewa twa treni. Nyumba za walimu ni za tope na zimeezekwa kwa nyasi. Yule DC alidondosha machozi mbele ya DEO. Aliamuru TASAF wahamie pale. Miundo mbinu ikawekwa sawa. Shule inafanya vizuri hadi leo. Mtukufu RC umetembelea hizo shule!? Ukizitembelea utatoa machozi
 
Wangetandikwa na viboko juu ,maana hawa wakuu wa shule na walimu wakuu wana viherehere sana ,yaan wamegeuza shule kama familia zao ,wanawafokea walimu full vitisho kisa tu kulinda tuposho twa laki mbili na nusu ,hawana utu hawa viumbe kwa walimu wao ambao ndio wanaohenyeka sana na watoto,sasa mkuu ukiwa mnoko walimu wanakufanyia figisu kiakili tu ,wanaingia darasan kama kawaida ila humo ndani ni mwendo wa kupotosha wanafunz kwenda mbele,huu mfano umetokea shule moja huko kagera bapo mkuu wa shule nasikia alikuwa na mashauz sana full kunyanyasa walimu hata mbele ya wanafunz ,sasa wakaunda mkakati kazi ,huwez amin shule anayosimamia INA four na zero no one ,two na three ,sasa hapo tayal kisas kimelipwa na ukuu hapo lazima wampokonye ,hii inaitwa mbwa kala mbwa ,wakuu punguzen ubabe na kujiona nyie ndo nyie ,me nampongeza sana huyo rc alitakiwa awanase hata makof mawilmawil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto za elimu hazitokani na walimu pekee bali kila mtu.

Kuna wanafunzi ni watukutu ,hawasikii na wanajiona wanajua kuliko walimu wao, kumweka ndani Mwalimu kisa mwanafunzi huyu si sawa kabisa.

Kuna wanafunzi hawana utamaduni wa kujisomea mpaka pale mitihani inapokaribia. Kumuweka ndani Mwalimu kwa mwanafunzi kama huyu si sawa.

Kuna wanafunzi wengine hawahudhurii darasani kutokana na changamoto mbalimbali na anatokea wakàti wa mitihani tu.

Walimu pia hawawekwi mbali na lawama za kufeli kwa sababu:

Kuna baadhi ya walimu hawafundishi na wakamaliza topic kwa wakàti matokeo yake mitihani ikikaribia wanalazimisha kumaliza topic na kuwafanya wanafunzi kushindwa kuelewa.

Baadhi ya wakuu wa shule Wana ' Poor management skills' ,yeye ni kushinda ofisini hasikilizi kero za wanafunzi wake kujua changamoto za walimu wake nà walimu wanafanya wanachofanya kwa kuamini hakuna wa kuwakemea.

Ofisi za wakuu wa shule baadhi zimekuwa kama vituo vya polisi, si walimu Wala wanàfunzi wanatamàni kuingia hivyo matatizo ya shule kutotatuliwa kwa wakàti kama linahusu kujadiliana na mkuu wa shule.

Kwa upànde wa walezi/ wazazi

Kunà bàadhi ya wazazi hawafuatilia maendeleo ya mtoto wake shule. Hii inachangia wanafunzi kuwa watoro

Uhusiano hafifu baina ya wazazi na uongozi wa shule unachangia mzazi kutopata taarifa za mtoto wake kwa wakàti

Baadhi ya tabia ambazo Mwalimu hawezi kuzirekebisha kwa wanafunzi ambazo ni mzazi mwenye jukumu Hilo zirekebishwe.

Jukumu la mzazi katika kuasa, kuonya, kukanya tabia mbaya za mtoto wake lisifumbiwe macho maana hiko ndio chanzo Cha matokeo mabaya shuleni
Hiyo ndo CCM ya Leo, ccm iliyojaa mazuzu na wababe. Huyu alikuwa Mwenyekiti wa ccm Arusha na hivyo ni sura halisi ya ccm.

Ukikutana hizi changamoto na hauna weledi wa kukabiliana nazo acha kazi ya ualimu kalime bamia
 
nina laani kitendo hiki kwa nguvu zote. na mbingu zijue kuwa RC kaikosea heshima hii taaluma. mashukeni huko kuna changamoto nyingi sana.
huko nyuma serikali ilijenga nyumba za walimu ili wakae vituoni. siku hizi shule zinaota kama uyoga, nyumba za walimu hakuna. Mtukufu RC unalijua hilo!
sera mbovu za elimu. ili mwanafunzi aende sekondari apate alama 100 kati ya 250.yaani hata nusu hafiki. Kwa lugha nyingine apate alama 20 kwa kila somo kati ya 50. Fikiria huyu mtoto ndo anakutana na mwalimu wa math form 1 to 4.stream A to D kila darasa. Kuna ufanisi hapo mheshimiwa RC!?
RC kuwa na hofu ya Mungu.
nimalizie kwa mfano huu. aliyekuwa DC MAKETE ndugu Osmundi kapinga. alifanya ziara s/m makangalawe. Hii ilikuja baada ya hii shule kuwa ya mwisho kiwilaya mara tatu mfululizo. Alikuta shule ni kama tubehewa twa treni. Nyumba za walimu ni za tope na zimeezekwa kwa nyasi. Yule DC alidondosha machozi mbele ya DEO. Aliamuru TASAF wahamie pale. Miundo mbinu ikawekwa sawa. Shule inafanya vizuri hadi leo. Mtukufu RC umetembelea hizo shule!? Ukizitembelea utatoa machozi
Mwinyi zahera alifutwa kazi kwa kufungwa na Simba wewe ukuona huwezi faulisha tuachie kazi ya imma
 
Upumbavu na uzandiki wa viongozi kama hawa ndio husababisha watu kuvujisha mitihani. NECTA mkamshitaki huyu RC asiyejitambua maana anawasurutisha walimu waibe mitihani ya Taifa kwa mitihani ijayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom