Si ndio sera ya ccm hiyo , au wewe umehama huko ?Kuna siku ma Bwana Shamba wataswekwa Rumande kwa kosa la mvua kutonyesha kwa wakati
Nakubaliana na RC 100% kama kufeli kwa wanafunzi kulichangiwa na walimu kuliko wanafunzi wenyewe na wazazi/wazazi.KARLO MWILAPWA, Acha kuzunguka zunguka, unalaani kitendo hicho au unaunga mkono aliyofanya huyo RC wa CCM? Mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Morogoro?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku ma Bwana Shamba wataswekwa Rumande kwa kosa la mvua kutonyesha kwa wakati
Kuna siku ma Bwana Shamba wataswekwa Rumande kwa kosa la mvua kutonyesha kwa wakati